Posted on: May 1st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba leo ameiagiza Taasisi ya kudhibiti na kupambana na rushwa ((TAKUKURU) Mkoani hapo kushirikiana na vyama vya wafanyakazi kutokomeza rushwa katika maeneo ya kazi...
Posted on: April 28th, 2023
Watendaji wa Serikali Mkoani Singida wametakiwa kujifunza na kutumia taaluma ya huduma kwa mteja (costumer care) ili kutoa huduma inayowaridhisha wateja wao na kupunguza kero kwa wananchi.
Kauli hi...
Posted on: April 28th, 2023
Wakuu wa Wilaya Mkoani Singida wameagizwa kuwachukulia hatua wote wanaowatumia watu wenye ulemavu kama chanzo cha kujipatia vipato kwa kuwatumia kwenda kuomba na baadae kuwasilisha fedha hizo kwa wali...