Posted on: January 19th, 2023
Vyombo vya Ulinzi na Usalama Wilayani Ikungi Mkoani Singida vimeagizwa kufanya msako wa kina na kuwabaini watoto wenye umri wa miaka hadi kumi na tano wanaotajwa kushiriki vitendo vya wizi na ukabaji ...
Posted on: January 18th, 2023
Maafisa Elimu na Wakuu wa Wilaya Mkoani Singida wametakiwa kutumia muda wa Siku tatu kuanzia leo kuhakikisha hakuna mtoto atakayebaki nyumbani wakati wengine wakiwa shuleni.
Kauli hiyo imetol...
Posted on: January 17th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kutunga Sheria ndogo itakayotumika kuzuia mifugo wanao randaranda mitaani na kufanya uharibifu wa miti iliyopandwa kat...