Posted on: December 1st, 2022
Halmashauri za Wilaya Mkoani Singida zimeshauriwa kubadilika na kuanza kufikiria kujenga shule za ghorofa ili kuokoa maeneo ya ardhi ambayo yangeweza kutumika kwa shughuli nyingine za maendeleo....
Posted on: November 30th, 2022
Wananchi Mkoani Singida wametakiwa kuhakikisha wanawapatia watoto wao wenye umri wa miaka chini ya mitano chanjo ya matone dhidi ya Ugonjwa wa Polio itakayotolewa kuanzia tarehe Moja hadi Nne Desemba,...
Posted on: November 30th, 2022
Wakurugenzi wa Halmashauri Mkoani Singida wametakiwa kukamilisha na kukabidhi vyumba vya madarasa ifikapo tarehe 15 Desemba, 2022
Maelezo hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba,...