Ujenzi wa vyoo bora vya wanafunzi katika Shule za Msingi Mkoani Singida unaendelea kushika kasi kwa lengo la kuwaweka wanafunzi katika mazingira salama kiafya.
Zifuatazo ni baadhi ya picha ya vyoo vipya vilivyojengwa na vile vya awali vilivyokuwepo:
Vyoo vya awali vya wavulana katika Shule ya Msingi Ndago.
Vyoo vipya vya wavulana katika Shule ya Msingi Ndago.vyoo hivi vina matundu matano na mfumo wa maji.
Vyoo vya awali vya wasichana katika Shule ya Msingi Ndago.
Vyoo vipya vya wasichana vinaendelea kujengwa katika Shule ya Msingi Ndago.
SINGIDA
Anuani: P O BOX 5 SINGIDA
Simu: 2502170, 2502089
Simu: 2502170, 2502089
Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.