Posted on: April 12th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego amepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi kubwa ya kufikisha umeme vijijini hali iliyobadili maisha ya wananchi vijijini.
Mhe. Dend...
Posted on: April 10th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, amefungua rasmi Mkutano wa Wakuu wa Shule za Sekondari wa Kanda ya Kati unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Chuo cha Uhasibu (TIA), Singida,...
Posted on: April 8th, 2025
Mkoa wa Singida umeungana na Wizara ya Afya pamoja na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika utekelezaji wa zoezi la kitaifa la utoaji wa dozi ya pili ya chanjo ya polio kwa njia ya sindano kwa watoto chini ya...