• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

Posted on: April 23rd, 2025

Madaktari Bingwa wa wajulikanao kama “Madaktari bingwa wa Dkt.Samia"   wanatarajia kutoa  huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi wa Mkoa wa Singida mwezi ujao(Mei).

Mkuu wa mkoa wa  Singida Mheshimiwa Halima Dendego amezungumza hayo katika mkutano na  waandishi wa habari leo Aprili 23,2025 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,amesema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za serikali kusogeza upatikanaji wa matibabu katika maeneo ya vijijini

Amesema kwa awamu ya kwanza huduma hiyo inatarajia kuanza kutolewa tarehe 28.04 hadi 03.2025 na kuwataka wananchi kujitokeza kwenye hospitali ziliopo katika halmashauri zao.

Pia,Amesema kutakuwa na madaktari na wauguzi bingwa 49 wa magonjwa  ya watoto, magonjwa ya uzazi na wanawake, upasuaji wa jumla, huduma ya usingizi na ganzi,  Magonjwa ya pua koo na masikio,huduma za  kinywa na meno na huduma  za uuguzi na kinga.

Dendego Amefafanua kuwa katika awamu ya pili kutakuwa na huduma itakayoanza tarehe 05 hadi 09,2025 ambapo madaktari 55 watatoa huduma za kibingwa na ubingwa bobezi  katika hosptali ya rufaa ya mkoa wa Singida.

Hatua hiyo ikilenga kuwatibu wagonjwa waliopewa rufaa katika awamu ya kwanza katika halmashauri mbalimbali mkoani Singida.

“Kutakuwa na madaktari bingwa na bobezi  55 katika fani 16  zinazogusa magonjwa ya ndani, wanawake na uzazi,watoto, upasuaji, upasuaji wa mifupa,njia ya mkojo,macho, masikio pua na koo,urekebishaji wa kinywa na meno, radiologia, usingizi na ganzi,urekebishaji wa kinywa na meno,utengemeo na viungo, mishipa ya fahamu na ubongo,ubingwa na ngozi, afya ya akili,na urekebishaji wa viungo;”alisema Dendego.

Aidha amewataka wananchi wenye magonjwa yaliyotajwa  wajitokeze  katika hosptali iliyopo kwenye Halmashauri  zao  ili kukutana na madaktari kwa kusikilizwa na kupatiwa tiba.

“Niseme wananchi wote mhakikishe mnafika mapema  mtakuta timu hizo zimejipanga ili ziweze kuwashugulikia ,” Amesema  Mhe.Dendego

Pia Amesema mkoa wa Singida unaendelea kumshukuru Rais Dr Samia Suluhu Hasan kwa kusogeza huduma karibu na kuwaepushia wagonjwa kwenda mbali kutafuta matibabu

Naye Mganga Mkuu wa Mkoa,Dkt.Victorina Ludovick amesema kwenye Hospitali ya rufaa ya Mkoa wanatarajia kuwafikia watu takribani elfu tatu na huku kila Halmashauri wakitarajia kufikia zaidi ya watu elfu nne.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.