• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MHESHIMIWA DENDEGO AZINDUA BODI YA PAROLE SINGIDA.

Posted on: October 4th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mheshimiwa Halima Dendego,ameshiriki katika uzinduzi wa Bodi ya Parole katika ofisi za Magereza  Mkoa wa Singida

Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ofisi za Magereza Mkoa imehudhuriwa na Katibu Tawala Mkoa wa Singida,Dkt.Fatuma R.Mganga,wajumbe wa Bodi,Kamati ya Ulinzi na usalama mkoa,Pamoja na Sekretarieti.

Akizungumza katika hafla hiyo Mheshimiwa Dendego ameipongeza Bodi ya Parole kwa utendaji mzuri wa kazi huku akisisitiza elimu kutolewa kwa wananchi ili kuelewa kwa undani Zaidi kuhusu majukumu ya Bodi ya Parole  na umuhimu wake kwa  walengwa wa moja kwa moja ili  kuendelea kunufaika na fursa hiyo.

Pia, amesisitiza uhamasishaji kwa wazazi kuhakikisha malezi bora ya msingi kwa Watoto wao katika misingi ya dini,mila,desturi na tamaduni  kwani kutofanya hivyo  kunaongeza idadi kubwa ya vijana  wanaojihusisha na uhalifu na baadhi yao wanaomaliza vifungo vyao hudumu uraiani kwa muda mfupi kwani hujikuta wakijiingiza katika vitendo vya uhalifu na kurejea gerezani.

“wazazi warudi katika majukumunyao ya msingi ya kulea Watoto,tusiache nafasi kubwa kwa Watoto kujifunza katika mifumo kama mitandao ya kujamii,bali tuwalee katika misingi ya dini,mila, desturi na tamaduni zetu”Alisema Mheshimiwa Dendego.

Akizungumza katika tukio hilo,Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Mkoani Singida, Liana A.Hassan ameahidi kushirikiana na  Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ,Menejimenti Katibu wa Bodi na timu yake katika kutekeleza kazi huku akisisitiza utayari katika kufanya kazi na na ushirikiano baina yao kwa maslahi mapana ya Jeshi la Magereza na Taifa kwa ujumla.

“Tutatoa ushirikiano mkubwa katika utekelezaji wa kazi hii ambayo tumeaminiwa kuifanya,tuwe na utayari kufanya kazi ambayo Serikali yetu imetuamini kuifanya”Alisema Liana

                                                                                                                  Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Singida,Liana A.Hassan


Katibu wa bodi hiyoambae pia niMkuu wa Magereza Mkoa wa Singida, SACP Khatibu Juma Semzono akizungumza katika uzinduzi huo,amefafanua maana ya  Parole kama utaratibu wa sheria unaotoa fursa kwa wafungwa waliofungwa kuanzia miaka minne waliokwisha kutumikia theluthi ya kifungo chao na kuonyesha uelekeo wa kurekebika na tabia nzuri kurudi katika jamii kwa masharti maalumu na kanuni.

 Pia,ameambatanisha Vigezo vinavyowawezesha wafungwa kupendekezwa na  kunufaika na Parole ambayo ni maoni ya viongozi wa vijiji kama wanakubalika katika jamii au la,aina ya makosa yao waliyoyafanya,maoni ya familia zao,upatikanajiwa waathirika Pamoja na maoni yao hasa kwa jamii ya wafugaji ambaohawana makazi maalum (wanahama hama),upatikanaji wa nyaraka za hukumu na alama za vidole kwa wakati,mienendo na tabia wawapo gerezani na taarifa kutoka kitengo cha upelelezi

          Katibu wa Bodi ya Parole na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Singida.


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.