• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MKOA WA SINGIDA WAWEKA MKAKATI KUKABILI VIFO VYA UZAZI

Posted on: November 22nd, 2018

Mkuu wa mkoa wa SINGIDA Dkt. REHEMA NCHIMBI ameagiza magari yote ya Serikali na Mashirika ya Umma mkoani humo kuanzia sasa yaanze kubeba wanawake wajawazito pindi wanapohitaji huduma ya dharura ya kujifungua kama eneo hilo halina gari la kubebea wagonjwa ikiwa ni hatua ya kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto.

Dkt. Nchimbi ametoa agizo hilo mapema jana 21/11/2018 katika uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” kufuatia kuendelea kuongezeka kwa vifo vya wanawake wajawazito na watoto ambapo kati ya mwaka 2014 hadi 2018 jumla ya watoto 3265 walifariki na katika hicho kipindi wanawake wajawazito 217 walifariki kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa damu.

Mkuu huyo wa mkoa ameonya kuwa kiongozi yeyote atakaye kwamisha mpango huo wa kupunguza vifo vya watoto wachanga pamoja na wamama wajawazito mkoani Singida atachukuliwa hatua kali za kisheria.

“ 3265 ni kijiji kizima, yani tumekifuta kijiji kizima, tusiruhusu hata kifo kimoja cha mama mjamzito au mtoto mchanga kwa sababu ambazo zinaweza kuzuilika, na kama tunaona kuna kituo cha afya au hospitali kuna bigwa ambaye hatufai katika oparesheni yetu nipeni taalifa ili nishuke naye jumla jumla” Alisisitiza Dkt Nchimbi

Aidha, viongozi wa mkoa wa SINGIDA wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa SINGIDA Dkt. Rehema Nchimbi sasa wamejitwika jukumu la kuhakikisha vifo vya watoto wachanga na wanawake wajawazito vinakoma.

Katika uzinduzi huo, Wakuu wa wilaya za mkoa wa SINGIDA wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa SINGIDA wamesaini tamko la kuongeza kasi ya uwajibikaji katika kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto wachanga katika kampeni ya JIONGEZE, TUWAVUSHE SALAMA MANENO BASI SASA NI VITENDO.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.