• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Mwenge wa Uhuru 2022 umezindua rasmi Daraja la Mawe lenye urefu wa mita 30 na upana wa Mita Nane wilayani Mkalama

Posted on: August 10th, 2022

Daraja la mawe lenye urefu wa Mita 30 na upana wa Mita nane (8) lililojengwa katika Kata na  Kijiji cha Miganga kilichopo Tarafa ya Nduguti Wilaya ya Mkalama.

Akiongea kabla ya kuzindua Daraja hilo Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Sahili Nyanzabara Gerurama amewataka Wahandisi kuendeleza Teknolojia hiyo ya mawe na wengine waige kwakuwa linatumika kiasi kidogo cha fedha ikilinganishwa na mengine yanayojengwa kwa zege na nondo.

Aidha amewataka wananchi kulitunza daraja hilo kwa kuondoa uchafu na kulinda vyuma visiibiwe ili kutorudia kwa changamoto ya upimaji wakati wa mvua kama ilivyokuwa mwanzoni.

Hata hivyo amewataka Wahandisi wa TARURA ambao ndio wasimamizi wa Ujenzi wa daraja hilo kuweka viakisi mwanga ili kuzuia ajali ambazo zinaweza kutokea wakati wa usiku.

Naye Mkuu wa Wilaya hiyo Sophia Kizigo alieleza umuhimu wa daraja hilo ambapo alieleza kwamba wananchi wa Kata ya Miganga walikuwa hawawezi kwenda Hospitali ya Wilaya kwa sababu ya maji yaliyokuwa yakisababisha barabara kutopitika kwa urahisi.

DC Kizigo amesema daraja hilo litawasaidia watu wa  Nduguti Nkinto, Miganga  na Nduguti katika shughuli zao za kibiashara na kijamii.

Kwa upande wake Mhandisi wa TARURA wilaya ya Mkalama  Mang'ara Magoti Maziku amesema Ujenzi wa daraja hilo umegharimu Tsh. Milioni 180.5 na kuokoa TSH.Milioni 639.4 kwa kuwa kama lingejengwa  kwa zege na nondo lingegharimu TSH.Milioni 820.

 Mhandisi Magoti amesema fedha hizo zimetolewa na Serikali kupitia fedha za mfuko wa Jimbo kwa mwaka 2021/22 na unatekelezwa na Mkandarasi Chase Investment  wa Mwanza na kazi zilizopangwa ni kuchimba kupanga mawe kusuka chuma kumwaga zege na kujenga mawe.

Mwisho

Ukaguzi ukiendelea kabla ya uzinduzi wa daraja hilo la mawe lililopo wilaya ya Mkalama

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.