• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Peter Serukamba asherehekea kumbukizi ya kuzaliwa kwake kwa kukagua miradi ya maendeleo.

Posted on: June 6th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba ametumia tafrija ya kusherehekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa kuipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi kwa kuharakishaa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikilinganishwa na Halmashauri nyingine.

RC Serukamba ameeleza kufurahishwa kwake na Halmashauri hiyo baada ya kutembelea miradi mbalimbali kwa muda wa siku mbili yenye thamani ya Tsh. zaidi ya Bilioni Tatu kwa Wilaya nzima ambapo miradi mingi imekaribia kukamilika na ambayo haijakamilika ilikuwa na idadi kubwa ya mafundi ikilinganishwa na Halmashauri nyingine alizotembelea mwishoni mwa wiki iliyopita.

Akiwa katika ukumbi wa mikutano ambapo alikutana na baadhi ya watumishi wa Halmashauri hiyo kufanya majumuisho baada ya kumaliza ziara yake, Serukamba alitoa pongezi hizo kwa viongozi na watumishi kwa namna walivyojipanga kusimamia miradi ndipo walimstukiza kwa kumuimbia wimbo maarufu wa kumbukizi ya kuzaliwa "happy Birth day to you RC Serukamba"

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba (kulia) akilishwa keki na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi kama sehemi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake.

"Nimetembelea miradi mbalimbali katika Halmashauri Sita lakini Halmashauri hii ya Ikungi mmefanya kazi vizuri sana, kwa kweli mmenifariji"

Aidha amemshukru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha nyingi Mkoani hapo ambapo amesema kila Tarafa ina Mradi wa kutekeleza.

RC  Serukamba amefafanua kwamba  mafanikio ya Wilaya ya Ikungi yametokana na ushirikiano mzuri baina ya viongozi jambo ambalo amesema linafaa kuigwa na Halmashauri zote Mkoani hapo.

Hata hivyo  Menejimenti na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida wakiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo wametuma pongezi kwa kiongozi huyo na kumtakia Maisha marefu yenye baraka tele.

Mkuu wa Mkoa wa Singida akikagua mradi wa barabara wakati wa ziara hiyo wilayani Ikungi


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.