• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

RAS Singida afungua rasmi Maadhimisho ya Kimkoa ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika leo wilayani Manyoni

Posted on: December 4th, 2021

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko leo Desemba 4, 2021 amefungua rasmi  maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru Tanzania Bara yaliyofanyika ki Mkoa wilayani Manyoni mkoani Singida katika uwanja wa Jumbe ambapo Watumishi mbalimbali walishirikishwa.

Akihutubia mamia ya Watumishi kutoka wilaya ya Ikungi, Manyoni, Iramba, Singida mjini, Mkalama na Itigi amewashukuru Watumishi hao kwa nidhamu kubwa walionesha wakati wa bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja huo na kushirikisha michezo ya kuvuta kamba kwa wanawake na wanaume, netiboli, mpira wa miguu, kukimbiza kuku, mcho wa bao, riadha na mashindano ya kula.

Hata hivyo RAS Mwaluko akatumia muda huo kuzipongeza timu mbalimbali zilizoshinda katika bonanza hilo pamoja na watumishi walioshiriki katika michezo na mazoezi mbalimbali ambapo akawaasa kuendelea kufanya mazoezi hata baada ya bonanza kwisha ili kulinda afya zao.

RAS  Singida akawataka watumishi hao kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru kwa kujitathimini  walipotoka walipo na wanapokwenda ili kuona maendeleo ambayo nchi yetu imeweza kuyafikia katika kipindi hicho.

Dorothy Mwaluko akaenedelea kufafanua kwamba Mkoa wa Singida unafursa nyingi ikiwemo za kitalii ambazo zikitumika vizuri zitaongeza  vipato vya wananchi na  kuboresha maisha yao.

Aidha akawataka watumishi hao kuadhimisha miaka 60 kwa kujitathmini namna wanavyoutumia muda wao kwa kutambua kwamba ni mtaji ambao kama hautatumika vizuri mafanikio hayataweza kufikiwa.

Kwa upande wake Henry Kapera  Afisa michezo wa Mkoa wa Singida akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni RAS Singida amesema  lengo la michezo hiyo ni  kuadhimisha miaka 60 ya uhuru na kuwajenga watumishi ki afya. 

Hata hivyo Kapera akawaomba wananchi wa Mkoa huo wanawake na wanaume kujitokeza na kushiriki  michezo mbalimbali inayoendelea uwanjani hapo kama sehemu ya mazoezi lakini kuonesha vipaji vyao.

Aidha Kapera alibainisha kwamba baadhi ya timu zilichelewa kufika uwanjani hapo kutokana na sababu mbalimbali hivyo wangeweza kuendelea na michezo mbalimbali baada ya mgeni rasmi kuondoka.

Kapera akamalizia kwa kusema  mkoa una mkakati kabambe kuendeleza michezo hiyo pamoja na kufanya mazoezi ya mara kwa mara.

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA WAKATI WA UZINDUZI


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.