• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

RC Dendego Amshukuru Rais Samia kwa Miradi ya Maendeleo.

Posted on: August 18th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mheshimiwa Halima Dendego, ametoa shukrani zake za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi kubwa za maendeleo zinazotekelezwa mkoani humo.

Akizungumza na wananchi katika Kata ya Iguguno Wilayani Mkalama (Agosti 18, 2024) kwenye ziara ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Zubeir Ali Maulid, iliyolenga kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Dendego ameeleza kuwa Serikali chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,  imefanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali inayogusa kila sekta, ikiwemo kilimo, miundombinu ya elimu, maji, afya, uwekezaji, nishati ya umeme, barabara ambayo imeleta mafanikio makubwa kwa wananchi wa Singida.

Akizungumza kuhusu sekta ya kilimo, Mheshimiwa Dendego amesema kuwa mkoa huo umefanikiwa kuzalisha chakula cha kutosha kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye skimu za umwagiliaji.

 "Licha ya changamoto ya mvua kuwa ya kiasi, kupitia skimu hizi za umwagiliaji, tumefanikiwa kupata chakula cha kutosha na tumefuta kabisa tabia ya kuomba msaada wa chakula," alisema Dendego.

Mkoa wa Singida unajivunia kuwa na skimu za umwagiliaji zipatazo 24 ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uzalishaji wa mazao.

Aidha, Mkuu huyo wa mkoa  alibainisha kuwa wamefanikiwa kupata mbegu bora na ruzuku ya mbegu, hali iliyowezesha kuzalisha zaidi ya tani tisa za chakula.

Kwa hatua hizi za maendeleo, RC Dendego amemshukuru sana Rais Dkt. Samia kwa uongozi wake makini na uwekezaji mkubwa katika sekta ya kilimo na nyinginezo, ambazo zimeleta tija kwa wakulima na wananchi wa Singida kwa ujumla.

Hata hivyo, alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wananchi kuhakikisha mkoa huo unazidi kupiga hatua kubwa zaidi katika maendeleo.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.