• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Serukamba aomba kuwekwa kodi mafuta ya kupikia kutoka nje.

Posted on: March 2nd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba ameiomba Wizara ya Fedha kuweka kodi katika mafuta ya kula ya  kutoka nje ya nchi ili soko la mafuta ya ndani liweze kuimarika

Maombi hayo ameyatoa leo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo wakati akiongea kwenye Mkutano wa Shina namba Tano uliofanyika katika Kata ya Iguguno Wilayani Mkalama Mkoa wa Singida.

Serukamba amesema Mkoa umeongeza  eneo la uzalishaji wa alizeti lakini soko la alizeti aliendani na uzalishaji kwa kuwa mafuta yanayoingizwa kutoka nje hayatozwi kodi jambo ambalo linawakatisha tamaa wakulima.

Aidha ameeleza kwamba mafuta yanayotoka nje hayatozwi kodi jambo ambalo limesababisha bei ya alizeti kushuka na wakulima kukata tamaa ya kuzalisha jambo ambalo linachangia viwanda vya mafuta kuzalisha chini ya kiwango. Alisema

Hata hivyo ametolea mfano wa kiwanda cha usindikaji wa mafuta ya alizeti cha Mount Meru kilichopo Mkoani hapo ambacho kinafanya kazi kwa asilimia 25 tu kutokana na upatikanaji mdogo wa mbegu za alizeti.

"Tumepewa jukumu la kuongeza eneo la uzalishaji wa alizeti jambo ambalo tumeshalitekeleza, changamoto yetu ni soko ambapo mafuta kutoka nje hayana kodi hivyo kuathiri soko la mafuta ya alizeti" Serukamba

Amesema ekari zaidi ya laki sita zitazalishwa katika msimu huu wa kilimo ambapo zaidi ya asilimia 44 za mafuta yatatoka Mkoani Singida hivyo kuomba kulinda soko la ndani ili wakulima waweze kunufaika.

Akijibu maombi hayo Katibu Mkuu Chongolo amesema atalipeleka kwa wahusika na anahakika litakuwa na majibu chanya kwa kuwa kazi ya chama hicho ni kuhakikisha kilimo kinawanufaisha wananchi.

"Hatuwezi kumnufaisha mkulima wa nje wakati mkulima wa ndani anapata tabu, haiwezekani kabisa hili nitashughulika nalo" alisema Chongolo.

Amesema Serikali imetoa mbegu na mbolea ya ruzuku kwa wakulima lengo likiwa ni kuwasaidia ki uchumi wananchi hivyo hatakuwa tayari kuona fedha zinatumika bila kufikiwa kwa malengo.

Mwanzo mwa mwaka jana Serikali iliamua kuondoa kodi kwenye mafuta ya kupikia kutoka nje ili kupunguza bei ya mafuta ambayo ilikuwa ipo juu sana.

 Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.