Kikao hicho kimefanyika leo Machi 14,2025 katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Singida kwa agenda kuu ya kujiandaa kimichezo katika sherehe za Mei Mosi ambapo michezo inatarajiwa kuanza wiki mbili kabla ya kilele cha maadhimisho.
Akizungumza kwa niaba ya Karibu Tawala wa Mkoa,Dkt Victorina Ludovick -Mganga Mkuu wa Mkoa,pia amewatahadharisha washiriki juu ya ugonjwa wa M-POX kwa kuwaasa kujilinda dhidi yake kwa kufuata taratibu zote za kujikinga,Pia amewahakikishia wageni na wakazi wa Singida kuwa Singida ni salama dhidi ya ugonjwa wa MPOX akiwakaribisha kushiriki na kusherehekea MEI MOSI kwa amani na utulivu Mkoani Singida.
Kwa undani wa taarifa hii fungua kiunganishi kifuatacho:
SINGIDA
Anuani: P O BOX 5 SINGIDA
Simu: 2502170, 2502089
Simu: 2502170, 2502089
Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.