• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Taasisi binafsi zatakiwa kuonesha ushirikiano katika uwekaji wa Anwani za Makazi Manispaa ya Singida.

Posted on: May 10th, 2022

Taasisi zisizo za Serikali ambazo zipo ndani ya Manispaa ya Singida zimetakiwa kutoa maelezo  juu ya kutokuwepo kwa  vibao vya Anwani za Makazi na postikodi katika  maeneo hayo  wakati yalikuwa ndio makubaliano kwa taasisi zote kufanya hivyo.

Maelekezo hayo yametolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilithy Mahenge alipofanya ziara ya kukagua uwekaji wa Anwani za Makazi na postikodi katika Kata za Majengo na Mwankoko Manispaa ya Singida Mkoani hapa baada ya kupata taarifa kutoka kwa Mtendaji Kata hiyo kwamba taasisi zilizobaki ni zile binafsi zikihusisha Misikiti na Makanisa.

"Mkurugenzi waiteni wote wenye taasisi binafsi waeleze kwa nini wanachelewesha zoezi la Anwani za Makazi kwa kutoweka vibao vinavyotambusha maeneo yao?,  nataka ifikapo alhamisi tarehe 12 Mei 2022 nipate taarifa ya uwekaji wa vibao katika Taasisi hizo" Alisema Rc Mahenge.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilithy Mahenge akisisitiza jambo wakati wa ziara hiyo

Aidha pamoja na changamoto hizo RC Mahenge ameipongeza Manispaa hiyo kwa kutekeleza kwa usahihi zoezi la uwekaji wa namba za nyumba na vibao elekezi vya Barabarani hivyo kuwataka kuhakikisha wanamalizia sehemu chache zilizobaki kabla ya Siku ya tathmini ambayo ni tarehe 12 Mei 2022 alibainisha RC Mahenge.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe ameahidi kutekeleza maagaizo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa ikiwemo kurekebisha baadhi ya vibao elekezi na kuwaita wenye taasisi binafsi kujua kwanini hawajaweka vibao vya Makazi na wanaviweka Siku gani.

Jeshi ameongeza kwamba endapo kutatokea ugumu wowote katika kufanikisha zoezi hilo Halmashauri italazimika kuweka vibao vyenye ubora hafifu ili kuondoa dosari katika zoezi hilo ambapo watalazimika kubadilisha wenyewe baadae.

Ziara hiyo iliwashirikisha viongozi mbalimbali wa Mkoa, Wilaya na Halmashauri ya Manispaa ya Singida na inategemewa kufanyika tena Siku ya tareh 12 Mei 2022 asubuhi katika Wilaya ya Singida Vijijini kabla ya tathmini.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilithy Mahenge akielekeza jambo wakati wa ziara hiyo

Mshauri wa Jeshi la Akiba Mkoa wa Singida Kanali RG. Magemeson akizungumza jambo wakati wa ziara hiyo. Kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Mhe. Yagi Kiaratu

Ziara ikiendelea

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.