• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

"Tunaanza msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti mashuleni"- RC Serukamba

Posted on: January 18th, 2023

Maafisa Elimu na Wakuu wa Wilaya Mkoani Singida wametakiwa kutumia muda wa Siku tatu kuanzia leo  kuhakikisha hakuna mtoto atakayebaki nyumbani wakati wengine wakiwa shuleni.

Kauli hiyo imetolewa leo na  Mkuu wa Mkoa huo Peter Serukamba alipokutana na Maafisa Elimu na Wakuu wa Wilaya ili kujadili hali ya usaili wa wanafunzi mashuleni.

Amesema idadi ya Wanafunzi wa Sekondari walioripoti mashuleni ni ndogo ikilinganishwa na wingi wa madarasa yaliyojengwa na Serikali hivi karibuni hivyo ni jukumu la Maafisa elimu hao kuhakisha wanasakwa popote walipo na wapelekwe shuleni.

RC Serukamba ameendelea kueleza kwamba ifikapo Siku ya Jumatatu tarehe 23 January, 2023 anataka taarifa ya kutoka kila kata kuhusu wanafunzi wangapi wamesajiliwa na wangapi bado na sababu za kutosajiliwa.

Aidha, ametoa wito kwa wazazi na walezi Mkoani Singida kuhakikisha hakuna Mtoto aliyechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza atakayebaki nyumbani.

"Nimejiridhisha kwamba hali ya usaiili wa wanafunzi wa kidato cha kwanza inasuasua sana, Serikali imejenga madarasa ya kutosha, imefuta Ada mashuleni lakini bado wapo wazazi hawawapeleki watoto wao shuleni hili halitakubalika" Serukamba

Kwa upande wake DC wa Iramba Suleimani Mwenda amesema bado katika Wilaya yake hali ya kujiunga na kidato cha kwanza unaenda kwa kusuasua jambo ambalo waliamua kuchukua hatua kwa kuwaita wazazi na wanafunzi ofsini kwake ili kuwasikiliza.

DC Mwenda anasema amebaini kwamba wapo wazazi wanaozuia watoto kwenda shule ili waweze kujiunga na shughuli za kiuchumi za kulima kuchunga mifugo na baadhi kutafuta ajira binafsi.

Mwenda amesema wanapenda kutumia mbinu zote zikiwemo kuwashawishi kutumia Dola kuwapeleka shule na kuwachukulia hatua wazazi watakao bainika kuwazuia watoto kwenda shule.

Mwisho

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.