• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Viongozi na Wananchi Mkoani Singida washiriki kuhesabiwa

Posted on: August 23rd, 2022

Viongozi mbalimbali Mkoani Singida wamehesabiwa pamoja na familia zao katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi linaloendelea kufanyika leo nchi nzima.

Akiongea baada ya kuhesabiwa katika Mtaa wa Utemini ambapo ndipo makazi yake Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba ametoa wito kwa kila mwana Singida kuhakikisha anahesabiwa ili kujua idadi kamili ya watu na Serikali iweze kujipanga kuwahudumia katika kipindi cha miaka kumi ijayo.

Amesema usiku wa kuamkia tarehe 23 Agosti mwaka huu Makarani Mkoa wa Singida walitembelea  maeneo ya vituo vya mabasi na kwenye nyumba za wageni ili kuweza kuhesabu watu walikuwamo humo.

RC Serukamba amesema kwamba Mkoa umejipanga kuhakikisha kila mwananchi anahesabiwa ikiwemo maeneo yaliyokuwa na changamoto ya kiutawala baina ya mipaka ya Mkoa na Wilaya ikiwemo Mkoa wa  Manyara na Dodoma kwa upande wa Wilaya Nchemba.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Pasikas Muragili amewataka wananchi ambao hawataweza kuhesabiwa siku ya leo kwamba bado kuna siku sita mbele za kuhesabiwa huku akiwakumbusha kuacha taarifa muhimu kwa wakuu wa kaya ikiwemo mawasiliano ya simu pindi wanapotoka kutafuta mahitaji yao ili waweze kuhesabiwa.

Aidha Mhandisi ameweza kuhesabiwa pamoja na familia yake baada ya kutembelea na Karani aliyepangwa katika eneo hilo.

Ameeleza kwamba siku ya jana wakishirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya walifanikiwa kutatua changamoto za baadhi ya Kata ambazo wakiwa na migogoro ya mipaka ya kiutawala hiyo wananchi hao kuridhia kuhesabiwa.

Mwenyekiti wa CCM Juma Kilimba amebainisha kwamba Sensa ni muhimu katika utekelezaji wa Ilani na kwamba kwa kujua idadi ya watu kutasaidia chama kuweka mikakati mbalimbali ya kuwahudumia wananchi.

Aidha Kilimba ameendelea kuwasihi wananchi wa Mkoa huo kuhakikisha wanatumia siku ya leo na ndani ya siku sita zijazo kutoa ushirikiano mkubwa kwa Makarani wa Sensa kuhesabiwa.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.