• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Wakurugenzi wa Halmashauri Watakiwa kuitumia Sekta binafsi kukusanya mapato kwenye minanda

Posted on: October 4th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote Mkoani hapo kufanya tathmini ya mapato yanayopatikana kwenye minada inayofanyika kwenye maeneo yao na kuibinafsisha kwa wafanyabiashara ili kuokoa mapato yanayopotea kwa kuwatumia Watumishi wa Umma katika ukusanyaji.

Akiongea katika Mkutano uliofanyika leo tarehe 04.06.2022 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo Rc Serukamba amesema mapato mengi yanapotea kutokana na uzembe wa wakusanyaji wa mapato hayo.

Amesema minada hiyo inauwezo mkubwa wa kuongeza mapato kwenye Halmashauri lakini makusanyo yapo chini kwakuwa unaomilikiwa na wakuu wa Idara pamoja na Madiwani hivyo kushindwa kudai ushuru kama inavyotakiwa.

Katika kufanikisha zoezi hilo RC Serukamba ametoa wiki moja kwa kila Mkurugenzi awe amefanya utafiti kubaini uhalisia wa mapato kwa kila mnada.

Aidha Mkuu wa Mkoa ameahidi kukutana na wote wanaodaiwa na Halmashauri hizo kwa nyakati tofauti siku ya Jumamosi ya tarehe  09 Octoba, 2022 ili waweze kurejesha fedha hizo ikiwa ni pamoja na kuonana na wenye vibanda katika masoko mbalimbali na wa miliki wa vizimba.

"Kila Mkurugenzi afanye tathimini ya fedha zinazopatikana kwa sasa katika minada, utafiti wangu unaonesha kwamba tunaweza kupata zaidi ya mara mbili ya fedha tunazopata sasa, binafsisheni minada hiyo kwa wafanyabiashara naamini tutapata fedha nyingi zaidi" alisema Serukamba.

Aidha, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kuandaa mikataba ambayo wataingia na wakusanyaji wa mapato kwenye minada.

Katika hatua nyingine RC Serukamba ameagiza Maafisa ugani wa Halmashauri kuongeza kilimo cha nyanya na vitunguu katika mabonde ili kuongeza biashara ya mazao.

Hata hivyo amewataka Maafisa ugani kuendelea kuwahamasisha na kutoa elimu kwa wakulima kuandaa mashamba mapema na kuhakikisha wanajipanga kutumia mvua za kwanza kupandia.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.