• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Waliokula fedha za CHAMWAI dawa yao inachemka - Serukamba

Posted on: January 24th, 2023

Hali ya Chama cha Walimu cha akiba na mikopo cha Wilaya ya Iramba (CHAMWAI) imeendelea kuwa  tete baada shauri lao na Mkuu wa Mkoa wa Singida kuahirishwa ili kutafutwe nyaraka husika.

Shauri hilo limesogezwa mbele mpaka tarehe 31 Januari 2023  ili kutoa fursa kwa wahusika kuandaa nyaraka ambapo ameelekeza kuletewa  jalada la chama hicho lililopo CRDB likiwa na nyaraka zote muhimu, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Iramba na Mkalama kuleta nyaraka zote zenye uhusiano na chama hicho.

Kauli hiyo imetolewa leo na RC Serukamba alipokutana na Walimu wastaafu katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo ambapo walieleza kwamba madai yao ni zaidi ya Milioni 300.

RC Serukamba alieleza kwamba analazimika kuahirisha kikao hicho ili kutoa nafasi ya kuzipata nyaraka zote tokea chama hicho kilipoanzishwa lengo likiwa sio kupata madeni ya walimu hao bali kuangalia fedha nyingine za chama hicho ambazo zimeibwa.

Amesema ni kweli yapo madeni yanayotakiwa kulipwa na Halmashauri ya Iramba zaidi ya Milioni 20 na Mkalama zaidi ya milioni 14 lakini inawezekana zipo fedha nyingine ambazo CRDB wanatakiwa kutoa maelezo jinsi walivyozitoa pasipo kufuata utaratibu.

"Mikopo yote ina utaratibu wake hivyo nataka kuona muhutasari unaoruhusu kuchukuliwa mkopo huo na masharti kama yamefuatwa" alisema Serukamba

"Tukisema tuwaambie Wakurugenzi waliotumia fedha za chama hicho watafanya hivyo lakini inawezekana walimu wanapata hela zao lakini chama kinaendelea kupoteza haki zao" Aliendelea kueleza Serukamba

Hata hivyo RC amemuagiza DC wa Iramba Seleimani Mwenda kuhakikisha siku ya kujadili tena swala hilo wawepo waliokuwa viongozi wa CHAMWAI wa awali ili kujibu hoja zitakazojitokeza.

Msemaji wa wastaafu hao Mlogwa Temaeli akizungumza wakati wa kikao hicho.

Kwa upande wa msemaji wa wastaafu hao Mlogwa Temaeli amesema wameridhishwa na utaratibu uliowekwa na RC Serukamba wa namna ya kutatua swala lao huku akieleza kwamba wamepata matumaini mapya.

Mkutano ukiendelea.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.