• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

WANANCHI ZAIDI YA 2687 WANUFAIKA NA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA, MKOANI SINGIDA

Posted on: May 17th, 2024

Wananchi zaidi ya 2687 wa mkoa wa Singida kutoka Halmashauri Saba za mkoa huo wamenufaika na upatikanaji huduma za matibabu ya kibingwa na bobezi kutoka kwa Madaktari bingwa 40 wa Rais Samia waliokuwepo katika mkoa wa Singida kwa muda wa siku Saba (7).

Kati ya idadi hiyo wananchi 69 wakiwemo watoto wamefanyiwa upasuaji kwenye Hospitali na Vituo vya Afya vya mkoa wa Singida badala ya kupewa rufaa kwenda kwenye hospitali kubwa.

Akipokea Taarifa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida kutoka kwa Madaktari bingwa kuhusu namna zoezi la utoaji wa matibabu lilivyofanyika, Katibu Tawala wa Mkoa Singida Dkt. Fatuma Mganga, amewapongeza na kuwashukuru madaktari hao kwa kazi kubwa waliyoifanya kwa siku hizo kwa kuwapatia wananchi matibabu ya kibingwa na bobezi karibu na maeneo yao.

Amesema ujio wa madaktari bingwa na bobezi mkoani Singida pamoja na kutoa matibabu kwa wananchi wamesaidia kutoa elimu kwa Watalaamu wa afya wa kada mbalimbali hali ambayo itasaidia kuimarisha utoaji wa huduma za kiafya kwa wananchi wa mkoa wa Singida.

Kuhusu tatizo la upungufu wa Watalaam katika sekta ya afya, Katibu Tawala huyo wa mkoa amesema Serikali ya mkoa imejipanga vizuri ili kuhakikisha tatizo hilo linapatiwa ufumbuzi haraka ili wananchi waweze kupata huduma zote muhimu kwenye Hospitali na Vituo vya afya karibu na maeneo yao.

Nao baadhi ya Viongozi wa madaktari bingwa na bobezi waliokuwa wanatoa matibabu kwa wananchi mkoani humo wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuanzisha mkakati maalum kwa Madaktari bingwa kwenda maeneo mbalimbali nchini ili kutoa matibabu kwa wananchi ambao hawana uwezo wa kusafiri kwenda kwenye hospitali kubwa kwa ajili ya kupata matibabu ya kiafya.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.