• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Wanao wanyanyasa Wanawake kuingia kwenye mtego wa Serukamba

Posted on: May 3rd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba ameagiza Serikali za Vijijini Wilayani Mkalama kuhakikisha wanaondoa  uonevu unaofanywa dhidi ya  Wanawake Wilayani hapo ambao wamekuwa wakinyanyaswa na kunyang'anywa ardhi zao.

Kauli hiyo ameitoa leo akiwa katika Kijiji cha Nkalakala  alipokuwa akisikiliza na kutatua kero za hapo kwa hapo  kwa Wananchi wa Wilaya ya Mkalama ambapo wanawake wengi wajane  walilamikia  kunyanyaswa na wanaume ambao wamekuwa  wakiwanyang'anya ardhi zao jambo ambalo limesababisha kuyumba kwa maisha yao.

RC Serukamba amesema amesikitishwa kuona Wilaya ya Mkalama kuwa na kawaida ya kuwanyanyasa wanawake  ambapo ameeleza kwamba hayupo tayari kuona hali hiyo ikiendelea.

Hata hivyo RC Serukamba ametoa agizo kwa Serikali za vijiji kuhakisha wanawake wanalindwa  na unyanayaswaji huo unakomeshwa na hatua kali zitachukuliwa kwa watakaoendeleza tabia hiyo.

"Wanawake Mkalama wanaonewa sana tafadhali Serikali za vijiji iwasaidie ili tukomeshe hali hii, DC naomba hili tulisimamie kwa nguvu zote na wote wanapofanya vitendo hivyo kunyang'anya ardhi za watu wapate ujumbe kwamba hatutawaacha salama". Alisema Serukamba.

Aidha ametoa onyo kwa baadhi ya Askari ambao wanatumika kunyanyasa watu wanyonge kwamba wakati wao umefika  hakuna atakayebaki Mkalama akiendelea kuchafua sifa nzuri ya Jeshi la Polisi.

Amesema kesi za wanawake hao na bàadhi ya wanaume ambao wameonekana kudhulimiwa mali zao ambapo maelezo yanaonesha kesi wanashindwa katika ngazi zote za mabaraza ya ardhi lakini haki wanaonekana kupewa wenye uwezo wa kifedha hivyo RC akalazimika kutoa maagizo kuanzia ngazi ya  DC mpaka Serikali ya vijiji kushughulika swala hilo.

MATUKIO KATIKA PICHA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba akizungumza na wananchi wa Mkalama wakati wa mkutano huo.

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Moses Machali akizungumza na wananchi wa Mkalama wakati wa mkutano huo.



Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.