• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

UKAGUZI WA MIRADI SINGIDA,MKALAMA YAFIKIWA.

Posted on: May 14th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mheshimiwa Halima Dendego ameongoza ukaguzi wa miradi mbalimbali katika Wilaya ya Mkalama leo Mei 14,2025.

Ukaguzi huo umehusisha  miradi mbali mbali ikiwemo miradi ya Elimu,Afya,Maji,Nishati safi,mradi wa vijana,na mapambano dhidi ya Rushwa.

Awali wametembelea mradi wa ujenzi wa Shule ya Amali iliyopo katika Kijiji cha Kidarafa,Kata ya Mwanga wenye gharama ya Shilingi 590,685,626 ambapo Shilingi 544,225,626 ni kutoka Serikali Kuu huku Shilingi 46,460,000 ikiwa mchango wa Wananchi.

Kadhalika ukamilishaji wa Wodi tatu(3) katika Hospitali ya Wilaya-Kata ya Nduguti ambapo unagharimu jumla ya Shilingi  123,000,000 kutoka Serikali Kuu.

Katika mradi mwingine wa Afya ukaguzi umefanyika katika ukamilishaji wa Zahanati ya Mwangeza iliyopo katika Kijiji cha Mwangeza katika Kata ya Mwangeza yenye gharama ya Shilingi 68,000,000 kupitia mapato ya ndani kutoka Halmashauri Shilingi 50,000,000 ,wananchi Shilingi 10,000,000 na mchango wa Shilingi 8,000,000 kutoka Serikali Kuu.


Kadhalika Mhe.Dendegi amefanya ukaguzi katika Mradi wa Maji uliopo katika Kijiji cha Mbigigi Kata ya Kikhonda uliogharimu Shilingi 461,026,595 kutoka serikali Kuu.

Kadhalika ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Nkenke katika Kata ya Kikhonda lenye gharama ya Shilingi 472,000,000 kutoka Serikali Kuu inayosimamiwa  na TARURA.

Katika mradi wa Vijana,uwezeshaji wa vijana kiuchumi,ukaguzi umefanyika katika kikundi cha Vijana wa Boda Boda kiitwacho Mkombozi kilichopo wilayani Nduguti kupitia mchango wa Halmashauri yenye jumla ya Shilingi 25,980,000.

Katika mapambano dhidi ya Rushwa,umefanyika ukaguzi wa Klabu ya Wapinga Rushwa iliyopo Shule ya Sekondari Kinampundu ambayo inatarajiwa kuzinduliwa na mbio za Mwenge.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Daktari Fatuma Mganga ameshauri kufanyiwa ukarabati katika jengo la zahanati ya Mangeza sambamba na kuhakikisha huduma za wagonjwa wa nje zinatolewa katika jengo hilo huku jengo jipya kutumika kwa ajili ya mama na mtoto pekee.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Singida ameagiza kukamilishwa kwa wakati kwa miradi yote ambayo haijafikia mwisho ikiwemo ujenzi wa daraja,kadhalika mradi wa maji kuwafikia wananchi majumbani sambamba na miradi yote husika kumalizika kwa ubora unaotakiwa.



Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KONGAMANO LA WANAWAKE SINGIDA LAFANA,MAKINDA AWAPA SOMO ZITO

    June 20, 2025
  • "HAKUNA KUACHA KIPORO": RC DENDEGO AHITIMISHA MABARAZA YA MADIWANI SINGIDA AKISISITIZA UWAJIBIKAJI

    June 18, 2025
  • RC DENDEGO: “MKURUGENZI BANANA NA WANAOZALISHA HOJA MPYA – TUNATAKA KUWAWAJIBISHA KWA MATOKEO”.

    June 17, 2025
  • HALMASHAURI ZAAGIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI ILI KUFUTA HOJA ZA CAG

    June 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.