Posted on: May 2nd, 2025
Hafla ya kuwatunza vyeti watumishi na waajiri hodari katika Mkoa wa Singida imefanyika leo Mei 2,2025 katika uwanja wa Bombadia likihusisha watumishi kutoka katika halmashauri zote za mkoa wa Singida
...
Posted on: April 25th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Halima Dendego amewakaribisha wawekezaji katika mkoa wa Singida kwa kuwahakikishia kuwa Singida ni salama na mahali rafiki kwa uwekezaji wa aina zote.
Ameyazungumza hayo...
Posted on: April 23rd, 2025
Madaktari Bingwa wa wajulikanao kama “Madaktari bingwa wa Dkt.Samia" wanatarajia kutoa huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi wa Mkoa wa Singida mwezi ujao(Mei).
Mkuu wa mkoa wa &nb...