Posted on: March 30th, 2023
Halmashauri za Mkoa wa Singida zimepongezwa kwa kupata hati safi katika mwaka wa fedha unaoishia Julay 2022 baada ya ukaguzi uliofanywa mwaka 2022/23 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
...
Posted on: March 29th, 2023
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga ameiagiza Taasisi ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kujitangaza kwa kufanya kazi zenye ubora na kutafuta wateja wapya badala ya kutegemea S...
Posted on: March 24th, 2023
Wananchi mkoani Singida wametakiwa kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu ili kuweza kuutokomeza na kuwa na afya bora ambapo imeelezwa kuwa mwaka 2021 walingundulika wagonjwa wapya 2597 ...