Posted on: November 16th, 2021
Mkoa wa Singida unatarajia kuvuna jumla ya tani 1,166,464.7 za mazao mbalimbali ya chakula yanayotarajiwa kulimwa kwenye hekta 585,744.9 katika msimu wa kilimo wa 2021/22 ndani ya  ...
Posted on: November 15th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge leo 15.11.2021 ametoa maagizo kwa Wakuu wa Taasisi za TANESCO, wakala wa barabara za mijini na vijini (TARURA), wakala wa barabara (TANROAD) na Manipaa &n...
Posted on: November 11th, 2021
Serikali za Vijiji Mkoani Singida zimetakiwa kutumia fursa za uwepo wa misitu inayowazunguka kwa kuitenga kama hifadhi ili kusaidia utunzaji wa mazingira na kuongeza kipatao kupitia ...