Posted on: June 21st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kurejesha viwanja vyenye thamani ya Tsh. Milioni 533 ambavyo viliuzwa kwa mkopo ambapo vimesabasha hoja ya Ukaguzi.
...
Posted on: June 20th, 2023
Halmashauri za Wilaya Mkoani Singida zimetakiwa kutafuta maeneo yenye ukubwa wa ekari zisizopungua 500 ambazo zitajengewa miundombinu ya umwagiliaji na kugawiwa kwa vijana wa kiume na wakike wapatao 1...
Posted on: June 20th, 2023
Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara wametakiwa kutumia Saikolojia kubwa katika usimamizi na utawala wa watumishi ambao wameonekana kuchelewesha utekelezaji wa majukumu yao ili kutatua changam...