Awamu ya Tatu ya TASAF ilizinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, tarehe 15 Agosti 2012 mjini Dodoma. Wakati wa uzinduzi, Mhe. Rais alionyesha kuridhishwa kwake na mafanikio makubwa ya utekelezaji wa awamu mbili za TASAF zilizotanguliana akaagiza awamu ya Tatu ya TASAF inayotekeleza Mpango wa KunusuruKaya Maskini iendeleze yale mazuri yote yaliyopatikana pamoja na kuongeza ubunifu na ufanisi katika kutekeleza Mpango huu.
SINGIDA
Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA
Telephone: 2502170, 2502089
Mobile: 2502170, 2502089
Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.