• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Akaunti za kupokea fedha za mradi wa korosho Manyoni kufungwa

Posted on: January 12th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amewataka wasimamizi wa mradi wa kilimo cha korosho cha pamoja kufunga akaunti zote za benki pamoja na kusimamisha upokeaji wa fedha kwa ajili ya ugawaji na usafishaji wa mashamba hayo mpaka watakapokamilisha zoezi la uhakiki kwa kulinganisha na fedha walizopokea na idadi ya mashamba.

Akiongea wakati wa kikao kilichohusisha kamati ya wilaya ya ulinzi na usalama, viongozi mbalimbali wa mkoa na wasimamizi wa  mradi wa mashamba ya korosho kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni, Dkt. Mahenge amesema mradi huo umekuwa ukilalamikiwa na wadau wengi kwamba wamekuwa wakilipia  fedha lakini hawajaoneshwa mashamba yao huku wengine wakidai kubadilishiwa mashamba na kutosafishiwa kama walivyolipia fedha zao.

Amesema tathimini hiyo iwasaidie kubaini kiasi cha fedha walizopokea na ukubwa wa mashamba waliyonayo ili busara zitumike kwa kufanya mawasiliano na wilaya za jirani ili kuweza kugawa mashamba mengine au kurudisha fedha.

Aidha RC. Mahenge akawataka viongozi hao kuandaa na kumkabidhi  taarifa ya kuanzia mwaka 2017 itakayoonesha kiasi cha mashamba yaliyopimwa fedha zilizoingia na namna zilivyotumika kwa kila mwaka pamoja na changamoto zilizojitokeza ndani ya siku zisizozidi siku saba.

Hata hivyo amewataka viongozi wa mradi huo kuhakikisha unakamilika na unatoa huduma kwa wananchi kama ilivyokuwa imepangwa

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Rahabu Mwagisa akizungumza wakati wa kikao

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Binilith Mahenge akipitia taarifa ya mradi wa korosho

Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika mkutano huo

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.