• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

KAMATI YA RUFANI SINGIDA WALA KIAPO CHA UADILIFU

Posted on: November 1st, 2024

Wajumbe wa kamati ya Rufani kutoka Wilaya tano za Mkoa wa Singida wamekula kiapo cha utii na uadilifu ,uaminifu na  kutunza siri kwa lengo la kuhakikisha  haki kwa watu wote kwa mujibu wa sheria,katiba na kanuni katika  uchaguzi wa serikali za mitaa.

 Tukio hilo limefanyika Novemba Mosi,2024 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Singida likishuhudiwa na Hakimu Fadhili Enock Luvinga.

Akizungumza wakati wa tukio hilo,Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Daktari Fatuma Mganga amesisitiza mshikamano katika kamati za wajumbe wote kwa kufikia makubaliano mazuri yenye tija katika kushuhulikia taratibu zote za uchaguzi kwenda vizuri.

"Mkatumie nafasi zenu vizuri katika kusaidia mkoa wetu ili zoezi zima la uchaguzi liende vizuri na kuridhisha wagombea na wananchi kwa ujumla."alisema

Daktari Mganga amesisitiza wajumbe kupitia kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kupata au kuwa na uelewa wa kutosha juu ya kanuni za uchaguzi ili kutoa maamuzi bora yenye tija na kudumisha amani,upendo na mchakato bora wa uchaguzi mkoani Singida,Pia ameahidi kama Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kutoa ushirikiano kwa kamati hiyo ya rufani wakati wowote utakapohotajika kwa nia ya kuhakikisha shughuli ya uchaguzi inakwenda vizuri.

Nasema Kazeni Mwanasheria kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida,akitoa ufafanuzi kuhusu kiapo,amesisitiza kila mmoja akiishi kiapo hicho katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwa uadilifu kwani endapo mtu akienda kinyume na kiapo atachukuliwa hatua za kisheria.

"Ikiwa Kiapo ni tamko analotoa mtu ili akubali jambo fulani ,pale Utakapokula kiapo hiki,uadilifu uwe mkubwa sana katikai kazi hii nyeti na  kiapo  huki kitatumiwa kama kielelezo katika  kukuchukulia hatua za kisheria pale utakapokengeuka na kwenda knyume na kiapo hiki"

Sambamba na zoezi hilo,wajumbe wa kamati ya rufani wamekabidhiwa mihuri itakayotumika katika shughuli nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa na kusisitizwa kuitunza vema ili kuepusha matumizi mabaya kwa watu wasiohusika.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.