• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

KONGAMANO LA TAHLISO LA UCHAGUZI NA MAISHA BAADA YA CHUO LAFANA.

Posted on: November 16th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida,Mhe.Halima Dendego  ameshiriki  kongamano katika chuo cha Uhasibu kampasi ya Singida  lenye jina la Kongamano la  wasomi na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Maisha baada ya chuo kwa wasomi wa elimu ya juu na vyuo vya Kati.

Akizungumza katika kongamano hilo,amewaasa  wanafunzi hao kutumia vzur ujana wao kwa kesho iliyo bora kwa kuzingatia Uzalendo,heshima,utii,na utulivu  na Mtandao wa watu wazuri wenye nidhamu nzuri ili kujiletea heshima katika jamii .

Pia amewasisitiza kujiandaa vizuri kwa kutumia elimu yao wanayopata vyuoni ili kuweza kujiajiri kwani kijana kujiajiri na kujipatia fedha kwa nguvu zake mwenyewe humletea heshima amani na uhuru katika maisha yake.

"Msichague kazi,ni vema kujiajiri ili kuongeza kipato,Tuchakarike vijana kuongeza kipato kwani Ubora na amani ya nchi yetu  ni kutupa fursa ya kupata kipato.Ujana ni fedha,nidhamu na kujiamini.Muda wa kuishi vyuo ni mfupi sana hivo tuutumie vzur kuandaa maisha mazuri ya baadae baada ya  chuo.

Licha ya hayo amewaasa kuepusha mahitaji makubwa yasiyo ya lazima kwa wanavyuo ili kuepusha gharama zisizo na msingi kwa wazazi wao wanaowagharamia,bali kutumia muda wao mwingi kujisomea kwa bidii na kuepuka mahusiano ya kimapenzi wawapo vyuoni yenye fadhaa mbali mbali ikiwemo kufeli mitihani,vifo kutokana na gomvi za wivu wa kimapenzi na magonjwa ya ngono ikiwemo VVU na UKIMWI.

Awali Amaniel Samweli,akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida,ametoa elimu ya hamasa juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa akisisitiza kuwa ni  haki yao kushiriki kupiga kura na kuwahimiza kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi .

Peter J.Peter rais wa wanafunzi katika chuo cha uhasibu kampasi ya Singida na Godfrey Mtilabu,Katibu Mkuu wa TAHLISO wamezungumza kwa niaba ya wanafunzi wote kuwa wapo tayari kushirikiana na serikali katika zoezi zima la uchaguzi kwa kuhakikisha wanatoa taarifa yeyote yenye viashiria vya kuvunja amani katika sehemu husika kwa lengo la kutimiza wajibu na haki yao ya kidemokrasia.

"Tutaendelea kuwa waadilifu na wazalendo kwa Taifa letu,vijana hatutakengeuka na kupotoka bali tutakua pamoja daima kudumisha umoja na amani ya nchi yetu."amesema Godfrey.

Sambamba na hilo,wanafunzi wamepata elimu ya afya kutoka Shirika la Mega We Care juu ya ugonjwa wa UKIMWI,afya ya uzazi na matumizi sahihi ya dawa,Pia Mkuu wa Mkoa ameahidi kuanzishwa kwa ligi ya vyuo Mkoani Singida.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.