• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Mabadiliko Makubwa Yaja Mkoa wa Singida – Katibu Tawala

Posted on: November 16th, 2021


Wakazi wa Mkoa wa Singida wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kutokuwa wanyonge kwakuwa wamebarikiwa kuwa na  Mkoa wenye mafanikio makubwa  katika uzalishaji na uinuaji vipato .

Serikali ya Mkoa ina mkakati wa kufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kimazingira kwa kupitia uzalishaji katika kilimo ili kuendelea kuwanufaisha wananchi wa Singida.

Akiongea wakati wa kutoa shukurani baada ya kukamilika kwa kikao kazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Social holl Mjini Singida, Katibu Tawala wa Mkoa huo Dorothy Mwaluko, amesema wamejipanga kuondoa uhaba wa mafuta nchini kwa kutekeleza mkakati  wa kuongeza uzalishaji wa alizeti na matumizi ya pembejeo bora za kilimo kwa wakulima.

Dorothy amewakumbusha wananchi wa Mkoa huo kuongeza bidii katika kufanya kazi hasa katika kipindi hiki cha msimu wa kilimo ambapo mazao kama alizeti korosho mkonge na degu vimeendelea kuwa na soko ndani na nje ya mkoa wa Singida.

 

Akiongea kwa niaba ya Makatibu Tawala wa Mikoa ya Dodoma, Simiyu na Manyara, Dorothy amemuahidi Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda kwamba mikoa hiyo imejipanga kutekeleza  kikamilifu mkakati wa kuondoa tatizo la uhaba wa mafuta nchini kwa  kipindi kifupi kijacho.

Aidha Katibu Tawala huyo ameishukuru  Wizara ya Kilimo kwa maamuzi yake ya kuzindulia ugawaji wa mbegu mkoania Singida kupitia mradi unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo IFAD  katika mkoa wa Singida ambapo utakuwa umeongeza chachu kwa wakulima wa alizeti.

Dorothy amebainisha kwamba mkoa  umepokea tani  252 za  mbegu za alizeti kutoka Taasisi ya uzalishaji wa mbegu za kilimo (ASA) kupitia Wizara ya Kilimo.

Aidha Katibu Tawala huyo akakamilisha salamu zake kwa kuwataka wawekezaji kuwekeza katika mkoa wa Singida ambao unastawisha vizuri mazao kama mkonge korosho alizeti dengu karanga na mtama

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.