• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Muongozo wa uendeshaji wa mashamba ya korosho utaongeza tija katika uzalishaji - Kemilembe.

Posted on: May 19th, 2023

Muongozo wa uendeshaji wa mashamba ya pamoja ya korosho Wilayani Manyoni Mkoani Singida umetolewa rasmi (block farm) ili kuongeza usimamizi na ubora wa zao hilo na tija iliyokusudiwa.

Muongozo huo umezinduliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Kemilembe Lwota wakati alipokutana na wadau wa zao la Korosho wa Mkoa wa Singida lengo likiwa ni kuupitisha na kuuzindua kwa ajili ya uendeshaji wa mashamba hayo.

Aidha DC Kemilembe amesema muongozo huo utasaidia kutatua changamoto ya usafishaji wa mashamba, na utoaji wa huduma za ugani kwa kila mkulima atalazimika kufuata utaratibu uliopo kwenye muongozo.

 "Leo tutaupitia muongozo wetu wa mashamba ya korosho ambao utasaidia kuhudumia na kusimamia mashamba hayo hasa kusafisha na huduma za ugani" DC Kemilembe.

 Naye Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho, Fransis Alfred ameushukuru uongozi wa Wilaya kwa kusimamia kikamilifu uwekezaji wa  mashamba ya korosho ambapo amesema kwa mwaka jana wateja wa korosho za Manyoni walisifia kwa ubora na utamu ulizonazo.

Mkurugenzi huyo amesema Bodi imejenga Ofisi na kuweka watumishi Wilayani Manyoni na kuwapatia vitendea kazi kama pikipiki ambazo zitawasaidia kuyafikia mashamba mengi na kutoa huduma za ugani kwa weledi zaidi.

Aidha amewataka wakulima wanaoishi nje ya Wilaya ya Manyoni kuweka vibao vinavyotambulisha majina ya wamiliki pamoja na namba za simu ili maafisa ugani hao waweze kuwasiliana nao kwa ajili ya kuwapa ushauri.

"Tumejenga Ofisi katika mashamba ya pamoja na kuweka watumishi ambao tumewapatia pikipiki ili waweze kutoa huduma kwa wakulima wa Manyoni, Itigi na Ikungi, hata hivyo tunawaomba wakulima wa nje ya hapa kuweka vibao na namba zao za simu ili wataalamu wetu waweze kuwashauri " Fransis

Hata hivyo Mkurugenzi amesema wamejipanga kufanya mnada wa korosho ambapo wakulima wanazo kilo 23,000 sawa na Tani 23 ambapo zitauzwa kwa njia ya mnada.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manyoni, Heri Kaombwe amesema bado Serikali imeendelea kusafisha mashamba hayo na kuyasajili Wizara ya Ardhi ambapo kila mkulima atahitajika kwenda kuchukua ankara zao katika Ofisi hizo.

Hata hivyo amebainisha kwamba baadhi ya changamoto bado zinayakumba mashamba hayo yakihusisha  miundombinu mibovu ya barabara ambapo ameeleza kwamba jitihada za kutengeneza zinaendelea.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • "SINGIDA IMEJIPANGA KUONGOZA UFAULU KITAIFA":RC DENDEGO

    June 04, 2025
  • MRADI WA TACTIC KULETA NEEMA MANISPAA YA SINGIDA.

    June 02, 2025
  • "WAHITIMU MSIBWETEKE,JIENDELEZENI KATIKA FANI ILI MJIAJIRI"-DKT.MGANGA

    May 30, 2025
  • DKT.MGANGA:"WATUMISHI MSIKUBALI KUTUMIKA VIBAYA,KUWENI NA UTAMBULISHO MZURI"

    May 27, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.