• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

RC DENDEGO ATOA RAI NMB KUJA NA MIKAKATI YA KUKUZA HUDUMA ZA KIFEDHA SINGIDA.

Posted on: October 29th, 2024

Kufuatia muendelezo wa wiki ya huduma kwa wateja,Viongozi na watumishi wa Bank ya NMB wametembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida kwa lengo la kuhakikisha huduma zinawafikia wananchi popote pale walipo.

Mkuu wa mkoa wa Singida,Mhe.Halima Dendego akizungumza katika hafla hiyo amesema ni wakati wa Mkoa wa Singida kukua katika matumizi ya huduma za kibenki kwa kuboresha na kuwafikia wananchi wengi zaidi katika huduma za kibenki hususani kwa wananchi wa vijijini katika maeneo ya uzalishaji hivyo ni wakati wa kufanya utafiti ili kigundua  maeneo ya uzalishaji na yenye mzunguko mkubwa wa kifedha ili kupeleka huduma maeneo hayo kwa kuongeza idadi ya mawakala na mashine za ATM.

Dendego amesema Kwa kufanya hivyo,uzalishaji utaongezeka maradufu kutokana na upatikanaji na mzunguko wa fedha kuwa rahisi na usalama wa wananchi utaongezeka kwani wataepuka kuhifadhi ela ndani na kutumia njia rahisi za kibenki katika utunzaji wa fedha zao.

"Ni vyema tuainishe maeneo mbali mbali yanayohitaji kufikiwa na huduma za kifedha mjini na vijijini ili kupeleka huduma karibu na wananchi kwa lengo la kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwani mzunguko wa fedha utakua mkubwa na uzalishaji utaongezeka"alisema Dendego.

Katibu tawala Mkoa wa Singida,Daktari Fatuma Mganga,amesema ni wakati wa wananchi kunufaika  na huduma za kibenki hususani kwa wananchi wa vijijini wanaojishuhulisha na uzalishaji kwa kufunguliwa akaunti na kupewa elimu juu ya matumizi ya huduma za kibenki.

Pia amesisitiza elimu ya  huduma hizo kutolewa katika vikundi mbali mbali ikiwemo vikundi vya wanawake, vikundi vya mikopo ya Halmashauri ,wakulima na wafanyabiashara  ili kuwapa utayari wa kuthubutu kutumia huduma za kibenki zenye gharama nafuu na usalama wa kutosha.

Naye Meneja wa Benki ya NMB mkoani Singida,ameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa kuhakikisha wanayafikia maeneo yote ya Mkoa wa Singida katika kuhakikisha wanafikiwa na huduma za kifedha mahali popote na wakati wowote kwa kuongeza idadi ya mawakala wakubwa mjini na vijijini pia uwepo wa ATM zitakazorahisisha upatikanaji wa fedha kwa urahisi na usalama zaidi.

Mikakati hiyo ni moja ya njia za kukuza na kuongeza matumizi ya kibenki katika mkoa wa Singida ambao ni moja ya mikoa yenye matumizi madogo ya huduma hizo  hapa nchini.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.