• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

PATO LA MKOA WA SINGIDA LIMEONGEZEKA NA KUFIKIA TRIL 3.

Posted on: February 19th, 2023

MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, amesema pato la Mkoa huo (GDP) limeongezeka kutoka Sh. Trilioni 2.8 mwaka 2020 hadi kufikia Sh. Trilioni 3 kwa mwaka 2021.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani kwa kipindi cha miezi sita leo (Februari 19) kwenye kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, amesema wastani wa pato la kila mtu kwa mkoa huu limeongezeka kutoka Sh.1,651,785 mwaka 2020 na kufikia Sh.1,721,195 mwaka 2021.

Serukamba amesema kumekuwa na ongezeko la mpango wa bajeti ya Mkoa wa Singida kutoka Sh.199,170,767,000 kwa mwaka 2021/2022 hadi kufikia Sh.239,808,971,000 mwaka 2022/2023.

Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Martha Mlata ambaye aliongoza Kamati ya Siasa ya Mkoa kukagua miradi inayotekelezwa mkoani Singida, amesema CCM imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mkoa huo na kwamba hiyo imetokana na ushirikiano mzuri kati ya chama na viongozi wa Serikali.

MATUKIO KATIKA PICHA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida Martha Mlata akitoa pongezi kwa viongozi wa Serikali Mkoa wa Singida kutokana na utekelezaji mzuri wa Miradi ya Maendeleo mkoani hapo wakati wa kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa kupokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani kwa kipindi cha Julai 2022 hadi Disemba 2022 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida Februari 19, 2023.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida Lucy Boniphace akitoa taarifa kwa viongozi wa Serikali Mkoa wa Singida na wajumbe wa kikao cha Halmashauri kuu CCM Mkoa kutokana na ziara ya Kamati ya Siasa Mkoa kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani hapo.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha Julai 2022 hadi Disemba 2022 wakati wa kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa  kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida Februari 19, 2023.

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko akizungumza jambo wakati wa kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa  kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida Februari 19, 2023.

Kikao kikiendelea

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.