Katika kuendeleza utunzaji wa Mazingira mkoani Singida, Mkuu wa Mkoa Dkt. Rehema J. Nchimbi amebuni na kuanzisha kampeni inayolenga utunzaji wa mazingira kwa kuwahamasisha wananchi waachane na ukataji wa Miti hovyo kwa kuchoma mkaa na badala yake wajihusishe na ufugaji wa nyuki, katika kusistiza kampeni hiyo Mkuu wa Mkoa amekabidhi zawadi ya Mizinga ya Nyuki 12 kwa vijana sita (6) waliokimbiza Mwenge wa Uhuru 2018 kimkoa ambapo kila mmoja amepatiwa Mizinga miwili (2).
SINGIDA
Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA
Telephone: 2502170, 2502089
Mobile: 2502170, 2502089
Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.