• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Serukamba atoa angalizo kwa maafisa ugavi Singida

Posted on: June 3rd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida. Peter Serukamba ametoa onyo kwa maafisa ugavi mkoani hapo ambao wamekuwa wakisabisha ucheleweshaji wa miradi  inayotekelezwa kwa ‘force Account’  kwa  kuweka michakato mirefu ya manunuzi ambayo kwa mujibu wa taratibu za mirad hiyo haihusiki.

Onyo hiyo amelitoa hivi karibuni wakati akikagua miradi ya ujenzi wa Vituo vya Afya na Shule vilivyopo Wilayani Manyoni Mkoani hapo ambapo kila alipobaini changamoto yoyote kwenye mradi alitajwa afisa manunuzi kwamba anaendelea na michakato ya ununuzi jambo ambalo RC Serukamba amesema sio sahihi.

Amesema miradi inayotumia ‘force account’ huwa zinaundwa kamati tatu ambazo ni kamati ya manunuzi, ya mapokezi na kamati ya ujenzi ambazo kila moja inashughulikia na kazi yake hivyo haikuwa na sababu ya maafisa ugavi kununua, kuingilia au kuratibu michakato ya manunuzi.

"Afisa manunuzi kwenye miradi hii anahusikaje? kuweka michakato ya ununuzi kwenye miradi hii ni kutupotezea muda na kutafuta faida kwa upande wake, kamati zilizoteuliwa ki sheria zinatosha"

RC Serukamba alitembelea miradi minne ambayo  ni ujenzi wa wodi mbili na mochwari katika hospitali ya Wilaya hiyo, Kituo cha Afya Sanza,  Ujenzi wa shule ya Msingi Nanduka na shule ya msingi Heka ambapo kati ya hiyo ni mradi mmoja tu wa Nanduka ambao hajakutana na changamoto ya ucheleweshaji wa ununuzi wa vifaa vya ujenzi kama mbao na mabati.

Akiwa katika mradi wa ujenzi wa wodi ya wanawake RC Serukamba ameendelea kusema kwamba hatamuonea aibu yeyote atakayesababisha fedha za miradi kurudi huku akiendelea kusisitizia kwamba atawachukulia hatua watakao onekana kuchelewesha mradi kwa hila zao.

MATUKIO KATIKA PICHA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba (kulia) akisomewa taarifa ya ujenzi wa Kituo cha Afya Sanza wilayani Manyoni wakati wa ziara hiyo.

Baadhi ya wananchi wa Sanza wilayani Manyoni wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba (haonekani pichani) wakati akisomewa taarifa ya ujenzi wa Kituo cha Afya Sanza.

Ujenzi wa wodi mbili na mochwari katika hospitali ya Wilaya Manyoni ukiendelea



Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.