• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Sikukuu ya Wafanyakazi Yafana Mkoani Singida, Viongozi Waahidi Kuondoa Rushwa na Uzembe Kazini.

Posted on: May 1st, 2022

Vyama vya Wafanyakazi, Waajiri pamoja na  Takukuru wametakiwa kushirikiana ili kuondoa aina zote za rushwa ikiwemo rushwa ya ngono katika upatikanaji wa ajira mkoani Singida.

Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa huo Dkt. Binilith Mahenge wakati akihutubia Wafanyakazi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei mosi) iliyofanyika katika uwanja wa Liti mkoani hapo. 

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge akihutubia Wafanyakazi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei mosi) iliyofanyika katika uwanja wa Liti mkoani Singida

Mkuu wa Mkoa alibainisha hayo wakati akijibu risala ya chama cha Wafanyakazi mkoani hapo ambapo walibainisha uwepo wa rushwa ya ngono katika maeneo ya kazi  katika zoezi la upatikanaji wa ajira.

RC Mahenge alisistiza kwamba katika kuadhimisha sikukuu ya Wafanyakazi mkoani hapo watumishi wanapaswa kuachana na mambo ya rushwa. "Takukuru nawaagiza mshirikiane na Waajiri pamoja na vyama vya wafanyakazi mkoani hapa ili kuondoa aina zote za rushwa ambazo zinaonekana pamoja na zile zilizosomwa katika risala na kiongozi wa vyama vya wafanyakazi mkoani hapa" alisema RC Mahenge.

Awali Katibu Tawala wa Mkoa huo Dorothy Mwaluko aliwataka Wafanyakazi kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ili kuweza kuwatumikia Wananchi kama inavyotakikana.

Amesema kudai mishahara na marupurupu kuendane na utekelezaji wa majukumu yaliyo bora ili kuleta usawa wa vyeo na mishahara kulingana na mishahara inayotolewa.

"Nimeona Watumishia wa Serikali Mkoani hapa mkicheza kwaito na mkienda kwa Stepu kwa kupokezana  bila kukosea ikionesha umahiri mlionao Katika mchezo huo, niwaombe Stepu hizo zitumike  Katika kuwahudumia Wananchi katika ofisi zenu. Alisema Dorothy Mwaluko katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko akizungumza na Wafanyakazi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei mosi) iliyofanyika katika uwanja wa Liti mkoani Singida

Shamrashamra mbalimbali zikiendelea wakati wa Sherehe ya Mei mosi mkoani Singida

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.