• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

UHABA WA MAFUTA NCHINI UTAMALIZWA NA WANASINGIDA - SERUKAMBA

Posted on: September 7th, 2022

Wakulima wa Mkoa wa Singida wamedhamiria kuondoa changamoto ya uhaba wa mafuta ya kupikia ambapo Taifa limekuwa likilazimika kuagiza bidhaa hiyo nchi za nje.

Akiongea na Madiwani leo katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi na Itigi  Mkuu wa Mkoa huo Peter Serukamba amesema Serikali imeendelea kuwaunga mkono wakulima wa Mkoa huo kwa kupunguza gharama za pembejeo kutoka 140,000 kwa mfuko hadi kufikia Tsh.70,000 jambo ambalo litasaidia kuongeza uzalishaji.

Amesema Mkoa wa Singida umedhamiria kuongeza eneo la kilimo kwa kupitia wadau mbalimbali wakiwemo wakulima wadogo, wakubwa, vikundi AMCOS mbalimbali vikundi vya wakulima na kupitia mashamba ya shule.

RC Serukamba ameeleza kwamba Serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa hasa katika bajeti ya kilimo hivyo wakulima wa Singida wataisaidia Serikali kwa kuhakikisha wanaongeza mashamba ya alizeti, mahindi, vitunguu, mbaazi mpunga na viazi.

"Katika mkakati wa alizeti wa mwaka huu Singida tumejipanga kuhakikisha mafuta yote yaliyokuwa yakiagizwa nje ya nchi yanapaitikana Mkoani hapa, muhimu ni viongozi wa vijiji Madiwani na watendaji kuhakikisha kwamba kila Halmashauri inaongeza eneo la kilimo" alisema.

Aidha amewataka wakulima kuanza maandalizi ya Kilimo na kuhakikisha mvua za kwanza zinakuwa za kupandia ili kuondoa mazoea ya kutumia mvua za katikati ambazo mara nyingi zinakuwa hazina matokeo mazuri.

Amewahakikishia wakulima Mkoani humo kuwa Serikali itaweka Mazingira wezeshi kuhakikisha mbegu bora na mbolea  zinapatikana kwa bei ya chini pamoja na masoko ya bidhaa hiyo.

RC Serukamba amefanikiwa kukutana na mabaraza ya Madiwani la Mkalama, Singida Vijijini, Manispaa, Ikungi na Itingi, hata hivyo anategemea kukutana na Madiwani wa Wilaya ya Iramba siku ya tarehe 8/9/2022 pamoja na Manyoni tarehe 10/09/2022.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.