• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Vijana 47 Mkoani Singida wapata Mafunzo ya kijiditali kubadilisha data za Ardhi

Posted on: May 5th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Binilith Mahenge leo amefunga Mafunzo  wakufunzi yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Social uliopo mjijini hapo wakijiusisha wataalamu mbalimbali wa upimaji wa ardhi na wachora ramani kutoka maeneo mbalimba hapa Nchini.

Mafunzo hayo yalidumu kwa muda wa Siku kumi (10) na  yalilenga kuwafundisha wataalamu namna ya kubadilisha data ziwe kijiditali ambapo watawafundisha wengine katika mikoa mbalimbali.

Akiongea katika Mafunzo hayo RC Mahenge amewataka vijana hao kutumia vyema mafunzo  waliyoyapata ili taarifa hizo ziweze kutumika kikamilifu katika uwekaji wa anwani za Makazi.

Amewataka wakufunzi hao kutumia muda uliobaki kufikia Siku ya sensa kwa kuhakikisha wanakamilisha zoezi la kutoa Mafunzo kwa wengine ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. 

Naye Kamishina  Msaidizi wa Ardhi Shamimu Hoza amesema kundi hilo la vijana baada ya Mafunzo hayo litasambazwa katika mikoa Saba ili kutoa elimu na kuendeleza kazi ya ubadilishaji wa taarifa kwenda katika digitali. 

Aidha kundi hilo lenye vijana wapatao 47 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani linategemewa kuchochea mabadiliko makubwa katika kuyafikia malengo iliojiwekea alifafanua Kamishna

Amesema taarifa hizo zitasaidia kubaini maeneo ya makazi hifadhi na maeneo yenye matumizi mengineyo hasa katika kipindi hiki cha kuweka Anwani za Makazi alifafanua Shamimu 

Hata hivyo Shamimu alimalizia kwa kuziomba taasisi nyingine kutoa ushirikiano au msaada wowote utakapohitajika  hasa katika matumizi ya Tehama au endapo vitendea kazi vitaleta usumbufu wa aina yeyote.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.