• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Bilioni 7.562 kutumika kuchimba visima sita Mkoani Singida.

Posted on: February 5th, 2023

Wakala wa Usambazaji wa maji Safi na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wamesaini mikataba sita (6) yenye thamani ya Tsh. Bilion 7.56 ambayo inahusu uchimbaji wa visima katika Wilaya mbalimbali za Mkoa wa Singida ili kupunguza tatizo la upatikanaji wa  maji mijini na Vijijini.

Akiongea kabla ya utoaji saini mikataba hiyo hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mkoa huo Mkuu wa Mkoa huo Peter Serukamba amewataka mameneja wa RUWASA wa Mkoa na Wilaya kusimamia zoezi hilo la uchimbaji visima kikamilifu ili kulinda thamani ya fedha zitakazotewa.

Aidha amewaagiza mameneja wa Wilaya na Mkoa wakiona Mradi wowote kati ya hiyo unasuasua  wahakikishe wanamchukulia hatua kali za kisheria Mkandarasi husika ili kutoa funzo kwa wengine na kuhakikisha thamani ya fedha inasimamiwa.

Hata hivyo amewataka wahandisi hao kusimamia kikamilifu maelekezo (Specification) ili pindi miradi ikamilike kwa ubora wake  na iwe na tija iliyokusudiwa.

"Hatutahitaji kazi inakamilika ndani ya miezi mitatu tunaambiwa maji hayatoki au tanki lina matatizo naomba tusimamie viwango "specifications" Serukamba.

RC Serukamba amesema endapo miradi hiyo ikikamilika katika viwango vilivyokusudiwa anaamini kwamba upatikanaji wa maji Vijijini utakuwa umefikia au umekaribia asilimia 85 na Mijini kwa asilimia 95.

"Tunataka tuache kuonge habari ya maji endepo miradi yetu ukikamilika tutaondoa tatizo la upatikanaji maji mijini na Vijiji" Serukamba

Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Martha Mlata amesema Serikali imeleta fedha nyingi kwa ajili ya miradi mbalimbali hivyo ni jukumu la kila kiongozi kuhakikisha kwamba unatekelezwa kwa usahihi na kwa wakati.

Akizungumzia kuhusu utekelezaji wa Ilani ya CCM Mlata, ameeleza kwamba Mkoa wa Singida umeendelea kutekeleza miradi kwa viwango ambapo ameeleza kwamba kwenye miradi ya maji itawasaidia kumtua mama ndoo ya maji kichwani.

Kwa upande wake Meneja wa RUWASA Mkoa wa Singida Mhandisi Lucas Said,  amesema miradi hiyo itatekelezwa na makampuni ya wazawa ambapo amesema kila Wilaya itakuwa na mradi mmoja.

Mhandisi Lucas Said  ameeleza kwamba miradi hiyo ikikamilika itaweza kuhudumia idadi ya watu wapatao 77,769 katika maeneo mbalimbali Mkoani hapo.

Mwisho

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.