• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

WAKUU WA IDARA NA VITENGO WAPEWA ELIMU MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Posted on: February 4th, 2025

Maafisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida, leo wameendesha mafunzo kwa Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Watendaji wa Kata wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika mapambano dhidi ya rushwa na kuboresha huduma kwa wananchi.


Mafunzo hayo, yamefanyika leo Februari 4, 2025,katika Ukumbi wa Ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Singida, yalihudhuriwa na viongozi wa Manispaa, ambapo walijikita katika kujua umuhimu wa kushirikiana katika mapambano dhidi ya rushwa, hasa kwa namna viongozi wanavyohudumia wananchi. Aidha, walipata pia mada kuhusu uchambuzi wa mfumo wa uondoaji wa taka ngumu ndani ya Manispaa hiyo.


Akizungumza katika mafunzo hayo, Afisa wa TAKUKURU, Bw. Lumemi Kisonga, amewataka viongozi kuwa na uwajibikaji katika maeneo yao kwa kuhakikisha kuwa wanashughulikia malalamiko ya wananchi kwa ufanisi na kwa haki.


 Amesisitiza kuwa viongozi wanapaswa kutambua wajibu wao na kuwa na uwezo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi, ili huduma zitolewe bila ubaguzi.


"Viongozi mnatakiwa kuwa mfano wa kuigwa. Hakikisheni kwamba malalamiko ya wananchi yanasikilizwa na kutatuliwa kwa njia zinazofaa huku mkiwajibika katika nafasi zenu. Hii ni sehemu ya mapambano dhidi ya rushwa," alisema Bw. Kisonga.

Mafunzo hayo ni sehemu ya juhudi za TAKUKURU katika kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi za umma na wananchi, na kuhakikisha kuwa mifumo ya utawala inakuwa wazi na yenye uwazi ili kupunguza rushwa katika sekta za umma.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.