• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

WANANCHI SINGIDA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA.

Posted on: September 14th, 2024

Mjumbe wa Tume huru ya uchaguzi,Mhe,Dkt.Zakia M.Abubakar ametoa wito kwa wananchi Mkoani Singida kutoa ushirikiano kwa asasi mbali mbali zinazotoa elimu ya mpiga kura katika kipindi hiki cha uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Hayo yamesemwa leo (Septemba 14,2024) katika mafunzo kwa watendaji ngazi ya Mkoa khusu uborehaji wa daftari la kudumu la wapiga kura aliyofanyika katika Chuo cha uhasibu Mkoani Singida yaliyohusisha mratibu wa uandikishaji wa Mkoa,maafisa uandikishaji,maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya jimbo,maafisa uchaguzimaafisa ugavi na maafisa TEHAMA Wa halmashauri.

Amesema kuwa matokeo bora ya zoezi hili yatategemea ushirikiano mkubwa kati ya watendaji wote wa uboreshaji,serikali,vyama vya siasa na wadau wengine wa uchaguzi kwa kuwa na ushirikiano mzuri na wa karibu na tume wakati wote wa utekelezaji.

Amesema kuwa Tume imetoa kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura katika kipindi hiki ambapo jumla ya asasi 290 kwa ajili ya uangalizi wa zoezi hilo huku akisisitiza utekelezaji wa majukumu katika kila eneo.

 

Pia,amesisitiza utunzwaji wa vifaa vya uandikishaji kwani vinatarajiwa kutumika katika maeneo mengine ya uandikishaji nchini na gharama za ununuzi wake ni kubwa sana na endapo utunzwaji wake hautazingatiwa kutapelekea athari kubwa katika ukamilishwaji wa zoezi hilo.

Zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la wapiga kura Mkoani Singida linatarajiwa kuanza Septemba 25,2024 na kukamilika Octoba mosi.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.