• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Washauriwa kuongeza usimamizi wa vyanzo vya mapato _ RC Mahenge

Posted on: June 15th, 2022

Washauriwa kuongeza usimamizi wa vyanzo vya mapato _ RC Mahenge


Manispaa ya Singida imetakiwa kuongeza usimamizi na kubaini vyanzo vipya vya mapato vitakavyo saidia kuendesha miradi mbalimbali ambayo inachelewa kukamilika kutokana na Uhaba wa fedha.


Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida  Dk.Binilith Mahenge alipokuwa akihutubia Baraza la Madiwani la Manispaa hiyo lililokutana leo kujadili hoja za ukaguzi Mkutano ambao ulifanyika katika ukumbi wa   Shule ya Sekondari  Mwenge Mjini hapo .


RC Mahenge amesema kwamba Halmashauri hiyo ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo havijasimamiwa vizuri na endapo usimamizi utakuwa mzuri mapato yangeongezeka kwa kiasi kikubwa.


"Fanyeni tathmini ya vyanzo vyenu vya mapato mjiridhishe muone  uwezo wake na kiwango mnachopata vinaendana? Nina amini vyanzo vya mapato Kama vituo vya Afya na standi vina uwezo wa kutoa mapato makubwa havijasimamiwa ipasavyo" Alisema RC Mahenge.


Aidha amewataka kutumia mamlaka na vyombo walivyonavyo kukusanya mapato ili kukabiliana na wateja  ambao wanakwepa kulipa kodi ya Serikali.


Hata hivyo ameipongeza Halmashauri hiyo kwa kuwa na hoja chache za ukaguzi ambazo zinatokana na sera na bàadhi yake kutokana na mikopo ya vikundi.


Hata hivyo RC ametoa angalizo kwa Madiwani pamoja na wataalamu wa maendeleo ya Jamii kuhakikisha  wanafanya tathmini ya mkopaji kabla ya kumkopesha ikiwa ni pamoja na elimu ya ujasiriamali na namna  ya kutunza fedha.


 Awali akimkaribisha Mkuu huyo Mstahiki Meya Yagi Kyaratu amesema wapo tayari kutekeleza maagizo hayo huku akieleza kwamba tayari wameshaanza kubaini vyanzo vingine vya mapato ikiwemo Ujenzi wa maegesho ya magari kutokana na uwekezaji utakao anza hivi karibuni wa Mradi wa Umeme wa upepo .


 Amesema wametenga bajeti kwa ajili ya kutengeneza Mazingira mazuri ya fukwe za ziwa Kindai na Singidani Kama sehemu ya mapumziko ambayo yatatumika pia kuingizia mapato Halmashauri kwa namna tofauti.


Mwisho

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.