Ndugu Msomaji Karibu katika tovuti rasmi ya Mkoa wa Singida. Tovuti hii itakupatia taarifa rasmi, nyaraka, picha, video, na msaada wa karibu wa takwimu na taarifa zinazohusu Mkoa wa Singida kwa haraka na uhakika. Mnakaribishwa kutoa Maoni ya namna bora ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa mwananchi katika sekta zote zilizopo Mkoani Singida. Tuna Imani tovuti hii itakua kiunganishi kati ya serikali mkoani Singida, taasisi za umma na binafsi pamoja na mwananchi.
SINGIDA
Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA
Telephone: 2502170, 2502089
Mobile: 2502170, 2502089
Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz
Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.