• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Halmashauri zatakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato

Posted on: July 18th, 2022

Halmashauri za Wilaya zimetakiwa kuimarisha vyanzo vya mapato na mifumo ya ukusanyaji fedha ikiwa ni pamoja na kubuni miradi mipya itakayoongeza mapato ya Serikali.

Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa alipokutana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo.

Amesema  wapo watumishi na mawakala ambao wamepewa kazi ya ukusanyaji wa mapato lakini hawapeleki fedha Benki na wengine kuzitumia kwa matumizi yao binafsi hivyo kuwataka viongozi kuwachukulia hatua  wote waliosababisha upotevu wa fedha hizo.

"Mnaweka mawakala kwenye ukusanyaji wa mapato ambao hamna mikataba nao, niwaombe Madiwani itisheni hiyo mikataba muikague na wachukulieni  hatua watumishi ambao wamekula Milioni 300" alisema.

Hata hivyo ametoa onyo kwa Maafisa Tehama ambao wanaingilia mifumo ya ukusanyaji wa fedha ili kukwepesha fedha kutosomeka kwenye mifumo hivyo na kusababisha upotevu wa fedha kupitia mashine za Posi.

Kwa upande wake Naibu Waziri ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Dr. Festo John Dugange amesema TAMISEMI  ni Wizara ya wananchi hivyo watumishi wakisimamia taratibu zinazotakiwa Serikali itakuwa imefanikiwa kwa  zaidi ya asilimia 70.

Dr. amemuhakikishia Waziri Mkuu kwamba Tamisemi wamepokea hizo changamoto na watazifanyia kazi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapata huduma kama ilivyokusudiwa.

Aidha amewataka watumishi kuachana na vitendo vya kinyume na maadili kwa sababu kwa yeyote atakayehujumu au kufanya jambo kinyume atakamatwa kwa kuwa Serikali ni kama hewa inapatika popote alisisitiza Naibu Waziri.

Hata hivyo Naibu Waziri amekiri kuwepo kwa changamoto katika ukusanyaji wa mapato ya ndani jambo ambalo amesema wamelipokea na wanaendelea kulifanyia kazi ili kurekebisha hali hiyo.

                                                      

Mwisho

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.