• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

MWENGE WA UHURU 2021 WAPOKELEWA MKOANI SINGIDA, MIRADI 55 KUZINDULIWA

Posted on: July 20th, 2021

Miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 8.1 itakaguliwa na kuzinduliwa wakati wa Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizoanza leo  Julai 20, 2021 Mkoani Singida.

Akiongea leo wakati wa mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amesema kiasi hicho cha fedha kimetumika katika miradi 55 ya maendeleo katika Mkoa mzima.

“jumla ya miradi 55 inayohusu TEHAMA, Elimu Afya, mazingira maji biashara, barabara programu za rushwa, VVVU/UKIMWI, malaria na mapambano dhidi ya dawa za kulevya itatembelewa” amesema Mhe. Mahenge.

Amesema katika mbio hizo za Mwenge wa Uhuru miradi mipya 9 itazinduliwa, miradi  miwili itafanyiwa ufunguzi, sita itawekwa jiwe la msingi na 36 itakaguliwa na miradi miwili itatembelewa.

Aidha Mhe. Mkuu wa mkoa amebainisha kwamba kiasi hicho cha fedha kwenye miradi hiyo inatokana na michango ya wananchi kiasi cha sh.Bilioni 1.9, mchango wa Halmashauri kiasi cha sh.milioni 69.6 na kiasi cha sh. milioni 4.6 kutoka Serikali kuu.

Hata hivyo Mhe. Dkt. Mahenge ametoa wito kwa wanasingida wote kutumia kaulimbiu ya Mwenge wa Uhuru 2021 “TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu” kwa kuwajibika ili kuleta maendeleo ya mtu na Taifa kwa ujumla.

Amesema kutokana na umuhimu wa TEHAMA katika maendeleo ya Taifa mkoa umeendelea kusimamia zaidi ya mifumo 30 inayotumika katika mamlaka za Serikali za mitaa, Sekretarieti ya mkoa pamoja na  taasisi mbalimbali zilizopo ndani ya mkoa.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi wa Singida kujiunga na bima ya afya ili kukabiliana na gharama za matibabu.

Amewasihi wananchi kutumia lishe bora kwa afya imara ambapo kiwango cha udumavu kimeendelea kupungua hadi kufikia asilimia 29 mwaka 2018.

Mkoa umeendelea kutafuta suluhisho la tatizo la    ukondefu na upungufu wa uzito kwa watoto kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa lishe ambapo jumla ya vituo 99 vya huduma ya afya  vinavyotoa matibabu kwa watoto vimeanzishwa. Alibainisha  mkuu wa mkoa 

Mwenge wa Uhuru 2021, katika Mkoa wa Singida utakimbizwa kwa muda wa siku Tano (5), katika Wilaya Tano kwa kuanzia na Wilaya ya Iramba leo tarehe 20/07/2021 na utahitimisha mbio zake mnamo tarehe 24/07/2021 na tarehe 25/07/2021 utakabidhiwa Mkoa wa Dodoma. 

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.