• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

RAS Singida aomba wadau wa Maendeleo kutia nguvu uboreshaji wa lishe

Posted on: November 10th, 2022

Wadau wa Maendeleo Mkoa wa Singida wameombwa kusaidia upatikanaji na uboreshaji wa Lishe mashuleni ili kuondoa changamoto ya utapiamlo kwa watoto wa chini ya miaka mitano pamoja wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.

Ombi hilo limetolewa leo tarehe 10.11.2022  na Katibu Tawala Mkoa wa Singida Mwl. Dorothy Mwaluko alipokutana na Kamati ya Lishe ya Mkoa katika ukumbi wa Ofisi ya Mkoa huo.

 Amesema kwa sasa Mkoa unatekeleza afua mbalimbali za Lishe na inaendelea kutoa mafunzo ya Lishe na mapishi katika Hospitali, Zahanati na vituo vya Afya  na chakula mashuleni.

"Lishe ni  mtambuka  ambapo kila mtu anatakiwa kulitekeza kwa upande wake, tukitegemea fedha za Serikali peke yake tutachelewa, naomba wadau mbalimbali wasaidie kuongeza virutubishi kwenye vyakula mafuta ya kula unga wa uji na chumvi" alisema Mwaluko.

Aidha amewaagiza Maafisa Lishe Mkoani hapo kutembelea vituo vya Lishe pamoja na utoaji wa elimu kwa kina mama wajawazito na wananchi kwa ujumla.

Akiongea  kwa niaba ya Afisa Lishe Mkoa Cristowela amesema  Halmashauri zote zilifanya maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji kwa kutoa elimu ngazi ya kituo na jamii ambapo jumla ya wazazi na walezi 18,843 walipata elimu ya unyonyeshaji.

Aidha Cristowela amesema jumla ya vijiji  362 kati ya 441 sawa na asilimia 82 mitaa 23 kati ya 53 sawa na asilimia 43 waliadhimisha siku ya Afya na Lishe  na utoaji wa elimu ya lishe kwa makundi mbalimbali katika jamii.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.