• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

RC DENDEGO AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KUSHIRIKI UJENZI

Posted on: March 4th, 2025

Katika kuonyesha kuwa wanawake wanaweza,Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, leo (Machi 4, 2025) amewaongoza wanawake wa Wilaya ya Singida kushiriki ujenzi wa shule ya amali ya Mkoa wa Singida inayojengwa kata ya Unyambwa Manispaa ya Singida kwa gharama ya Sh.bilioni 1.6 ikiwa ni mwendelezo wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Akizungumza na wanawake waliojitokeza kushiriki ujenzi huo amesema kwamba Halmashauri zote za Mkoa huo zimepewa fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule ya Amali ambayo  watachaguliwa kujiunga wanafunzi wenye vipaji.

.         "Tunamshukru Rais Dk.Samia Suluhu Hassan,tumeona dhamira yake ya kweli kwa Watanzania ya kuweza kuwakwamua kiuchumi,shule hii ya Amali inayojengwa kata ya Unyambwa tutawachagua wenye vipaji ndio wajiunge ili watuletee mageuzi ya kiuchumi,alisema Mhe.Dendego

               Mhe.Dendego amesema nchi yetu imezindua sera mpya ya elimu inayokwenda kuangalia vitendo na elimu ya nadharia lengo ili mwanafunzi anapohitimu masomo aweze kujiajiri au kuajiriwa akiwa tayari ana ujuzi mkubwa.

Aidha,Mkuu wa Mkoa wa Singida amezipongeza wilaya zote wa mkoa huu kwa kutekeleza maelekezo ya serikali katika kuadhimisha siku ya wanawake dunia kuanzia ngazi ya Kata hadi Mkoa ambayo yamewashirikisha wanawake kwa kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo.

                   Awali Mhandisi wa Manispaa ya Singida amesema serikali  imetoa Sh.Bilioni.1.6 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya amali ya Mkoa wa Singida ambayo itakapokamilika katika awamu ya kwanza itachukua wanafunzi takribani 400 wenye vipaji watakaofundishwa ufundi wa aina mbalimbali.

Akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida,Ameongoza mamia ya wanawake wa Wilaya ya Singida kushiriki ujenzi wa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kilele chake ni Machi 8, 2025.

Amesema katika awamu ya kwanza ujenzi ambao unatarajia kukamilika Mei 29, 2025 majengo 22 yatajengwa yakiwamo madarasa nane,maabara 2,mabweni 4,karakana ya ujenzi na ufundi uashi na karakana ya ufundi magari na kuchomelea.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.