• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

RC Serukamba afungua Mafunzo ya itifaki kwa Wakurugenzi na Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

Posted on: November 18th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amewataka  viongozi mbalimbali walioshiriki mafunzo ya itifaki ya viongozi wa Kitaifa na usimamizi wa maadhimisho ya sherehe na matukio yanayohusu viongozi wa Kitaifa kutumia mafunzo hayo kuboresha utendaji kazi wao.

Maelezo hayo ameyatoa wakati wa ufunguzi wa Mafunzo hayo yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Uhasibu Mkoani hapo.

RC Serukamba amesema  Mafunzo hayo yatasidia kuondoa ubabaishaji ulikuwa unafanywa katika eneo hilo ambapo watu walikuwa wakikosea  matumizi ya alama za Taifa ikiwemo bendera na wimbo wa Taifa.

"Nimejulishwa kuwa mtapata elimu ya matumizi ya Alama za Taifa hivyo ni matumaini yangu kuwa mtapata ufafanuzi sahihi juu ya maswala ya uwekaji wa bendera  na matumizi ya Alama za Taifa kama wimbo wa Taifa" Alisema Serukamba.

Hata hivyo Serukamba alisistiza Mafunzo hayo yatolewe kwa watu wengini kuondoa makosa ambayo yalikuwa yanafanyaki huku akiwataka viongozi hao kuwa mabalozi kwa watumishi wao na kuwapelekea elimu waliyopata ili kuongeza uelewa kwa watu wengi.

"Kwa uzoefu wangu kuhusu masuala haya nimegundua kuna ubabaishaji mkubwa kwa watu kukosea hivyo ni matumaini yangu baada ya Mafunzo haya tatizo hilo litaisha”. RC Serukamba

Mkurugenzi wa Maadhimisho na Sherehe za Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Batholomeo Jungu akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba kufungua mafunzo.

Akimalizia hotuba yake RC Serukamba  amesema ifikapo kesho mwisho wa Mafunzo hayo viongozi hao watakuwa na weledi  ambao utaongeza umakini mkubwa katika utendaji wa kazi.

Awali akifungua Mafunzo hayo Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Exervier Saudi amesema Mafunzo hayo ni ya siku mbili na yanalengea kukumbusha na kubadilisha mawazo kuhusu itifaki ya viongozi na misingi ya maadili ya Taifa.

Amesema Mafunzo hayo yatasaidia kwa kiasi kikubwa katika utekelezaji wa majukumu yao kwa ufanisi zaidi na yatasaidia katika ulinzi na usalama.

Hata hivyo Katibu Mkuu huyo alibainisha kwamba mafunzo hayo yamehusisha Wadau 250 wakiwemo Wakurugenzi na Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa mbalimbali hapa nchini.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.