• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

RC Singida Atembelea miradi Itigi.

Posted on: September 23rd, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge ameupongeza uongozi wa Hospitali ya St.Gaspar Itigi kutokana na huduma Bora za kibingwa wanazozitoa kwa wananchi wa Singida na Mikoa ya jirani.

Pongezi hizo amezitoa hivi karibuni alipofanya ziara Katika Wilaya ya Itigi Mkoani hapo Katika Hospitali ya St.Gaspar Itigi  na kutembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Itagata iliyopo Kijiji Cha Itagata.

Aidha Dkt.Mahenge akijibu hoja maombi ya Mkurugenzi wa Hospitali hiyo yaliyosomwa na  Fr Justin Boniface RC amesema Serikali itaendelea kutoa ruzuku kwa wananchi wake Katika sekta ya afya ili waweze kuimarisha Maisha yao.

Amesema pamoja na huduma nzuri na vipimo vinavyopatikana Katika Hospitali hiyo ni vyema kila.mwanachi akapata bima ya afya iliyoboreshwa ili kupata unafuu Lindi wapatapo maradhi.

Ametoa wito kwa madaktari na viongozi hao kuhalikisha huduma hizo zinaendelea kuboreshwa kuongeza mashine nyengine ili kuondoa usumbufu kwa wagonjwa kuenda mikoa.mingine kwa ajili ya vipimo alisema Dkt.Mahenge.

Akiwa Hospitalinj hapo Mkuu wa Mkoa alitembelea miundombinu mbalimbali ya Hospitali hiyo pamoja na mashine ya vipimo mbalimbali


Aidha Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali hiyo  Fr. Justin Bonifasi aliomba Serikali iwafutie deni  lenye thamani ya shilingi milioni 333,389,925 linalodaiwa na TRA ombi ambalo RC aliwambia walete ofsini kwake kwa maandishi ili aweze kuguatilia.

Mkurugenzi huyo amesema endapo watalazimika kulipia  deni hilo wata athirika kiuchumi na watakao umia zaidi ni wananchi zaidi.

Katika hatua nyingine  Dkt.Binilith Mahenge amewataka  Viongozi wa Wilaya ya Itigi Mkoani Singida  kuangalia upya  utaratibu wa kuyagawa mashamba kwa wakulima  katika Skimu ya Umwagiliaji ya Itagata Wilayani hapo ili iweze kuwa na Tija katika mkoa.

Maelezo hayo ameyatoa  baada ya kutembelea Skimu hiyo na  kubaini uwepo wa mashamba makubwa ambayo hayatumiki.

Amesema wapo watu waliohodhi mashamba hayo bila kuyatumia wakati maji yapo ya kutosha huku wakisingizia ubovu wa miundombinu ya Barabara na uwepo wa vichuguu.

Akiongea na wanakiji wa eneo hilo Dkt Mahenge ametaka kuitishwa haraka kwa Mkutano utakao husisha Wakulima wote wa Skimu  na Viongozi wa maeneo hayo ili watafakari namna ya kuyagawa mashamba hayo upya kwa wakulima ambao wana utayari.

Aidha amebainisha  kwamba Serikali imetoa zaidi ya bilioni 2.1kwa ajili ya utengenezaji wa Skimu hiyo lakini matokeo yake imekuwa ikitumiwa na watu wachache huku ikiendelea kuwa na tija ndogo.

RC Mahenge amewataka Viongozi wa Skimu hiyo kuhakisha msimu unaoanza wa kilimo mashamba yote ya Skimu hiyo yanatumika kulima kilimo cha kibiashara.

Mwisho

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.